Mtu kama huyu alitakiwa akawe chachu ya kujua wizi tunaofanyiwa na hawa majangili wa magharaibi ili tufike mahali pa kusema enough is enough. Cha ajabu akifika huko anakuwa Mkanada badala ya kuwa Mtanzania.
...uwe mtetezi wa maslai ya wabongo na siyo kufuata nyao za hao weupe!!!!!
Hongera Boss!!!
Hao Barrick ni wanafiki na waongo mno, huo mgodi upo mbioni kufa na anatafutwa mchawi wa kutishwa mzigo na mwisho wa siku wameamua kumpa Mtanzania ili wapate cha kusema kuwa Mtanzania ndio kaua huo mgodi, kwa nini hawakumpa mgodi kama wa Bulyangulu ama Buzwagi ama NorthMara?Akiwafuata mawazo nyie wazawa atapigwa chini mara moja na hakuna atakayemtetea, hili ndio tatizo la nchi yetu. Ninachojua huyu atapewa maslahi ya kufa mtu kiasi kwamba hatakubali kuyakosa kwa namna yoyote ile.
Wakishaenda huko wanalishwa sumu ili kuendelea kushirikiana na jamaa hao kubeba mali ya watz!!!!!!
Ungelimwambia kwa Kihaya....
"Rweyemamu wee, Mungambire Muzungu Stop. Mungambire Muzungu Enough."
Mtu kama huyu alitakiwa akawe chachu ya kujua wizi tunaofanyiwa na hawa majangili wa magharaibi ili tufike mahali pa kusema enough is enough. Cha ajabu akifika huko anakuwa Mkanada badala ya kuwa Mtanzania.
Ungelimwambia kwa Kihaya....
"Rweyemamu wee, Mungambire Muzungu Stop. Mungambire Muzungu Enough."
Ungelimwambia kwa Kihaya....
"Rweyemamu wee, Mungambire Muzungu Stop. Mungambire Muzungu Enough."
Ndugu zangu tusiwe na roho ya kuibiwa kila siku...Mining Act ya 1998 tulicopy na kupaste ya Australia na kuifanyia mabadiliko kwenye royality ( ya kwetu iliongezwa na kuwa 3% wakati original ni 2%). Sheria hii ilishindwa kufanya kazi kwa manufaa ya umma, wawekezaji waliifuata kama ilivyo wakati serikali ya magamba iliikanyaga.Sasa wakulaumiwa ni nani hapo... Sheria mpya ya madini ya sasa (mining act 2010) ni ya Ghana tumetoa neno Ghana na kupachika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ghana kila mtu anaishangilia bongo tunalalamikia wawekezaji. Tatizo ni serikali ya magamba ndo inayo chakachua kile kilicho haki yetu na wanakimbizia Uswisi...Haiwezekani mtu asulipe income tax na corporate tax kwa miaka kumi...hapa kuna namna...Tumechachamaa wenye nchi ndo maana unaona Serikali na GGM wameamua kuwa wawazi na kuanza kulipa...bado mengi..The bottom line is that our government through its ruling party are the problems