Koborer
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,020
- 272
http://www.defenceweb.co.za/index.p...ives-indian-vehicles&catid=50:Land&Itemid=105
kama ulikuwepo mkuu, wenyewe wanaiita misaada na wala hawataki kutamka kuwa ni MIKOPO. Interests na 10% zake ndizo unasikia baadae kuwa mtu ana trillion 3 SA au Uswiss.Hivi nyumbu hawatengenezi magari hadi tunaomba misaada na mikopo toka India?
Ina maana 50 YEAR LATER, hata magari hatuwezi kutengeneza?. Sipati neno sahihi la kuelezea hisia na ghadhabu zangu juu ya hili?.
Ina maana 50 YEAR LATER, hata magari hatuwezi kutengeneza?. Sipati neno sahihi la kuelezea hisia na ghadhabu zangu juu ya hili?.