Wasikukatishe tamaa sijui sura za wamisri kwani hao wamisri wapo ulaya?? Africa for Africa keep it up ukileta link weka mfumo mzuri wa malipo ili tunao download uwe unapata percentage kadhaa kupitia hilo.
Kwa iyo umetengeneza moja au na umetengeneza kwa kujifuraisha au biashara kazi nzuri ila sijui target yako vijana uwaga mnafail kwenye marketing na amini ungepata marketing advise ungefanya vema kama kirikuu

Habari mkuu, ni series inayoendelea hii mkuu. Na hapana hatufanyi kujifurahisha (ndio tunapenda tunachofanya) lakini tuna mpango wa kibiashara nyuma yake.
Mkuu, tumesubiri for two years. Initial concept started 2years back, nna hakika ukisearch "animation, tanzania" humu utaona hizo posts. Sidhani kama tumekurupuka. Its now time for action dont you think. Pia share nami mawazo yako, ni moja ya sababu nimeleta huku pia hii kitu. Would love to hear your perspective and approach!