Why avoiding the main topic,and discussing citizenship instead....wakati watu
wenyewe wako kwa obama....watz kama tumerogwa vile
cc Nyani Ngabu
mmmh aya bwana !hebu tuwekee ya kwako kidogoHmm...sidhani aisee.
Imewasilishwa kuwa yeye ni Mtanzania. Je, ni Mtanzania kweli ama? Maana mdingi wake (Kanyama Chiume) alitokea Malawi huko.
Kutoka Wiki
Kwani hakuna mtanzania ambaye baba yake ametokea nchi nyingine?Imewasilishwa kuwa yeye ni Mtanzania. Je, ni Mtanzania kweli ama? Maana mdingi wake (Kanyama Chiume) alitokea Malawi huko.
miaka 39 anategemea kuja kumuoa nani? tena ashindwe khaa! hata mayai yatakuwa yameisha huko!I love the wedding kidogo niseme heee!!! EMT ameoa my wife wake mzuriii waaaooo nikupe na congrats kumbe ni mwingine. Yaani hiyo wed imenifanya nikumbuke siku yangu ya harusi maana nilipewa khanga kama hiyo inayoonekana hapo kwenye picha mama wa bride na groom wanapewa. Natural/cultural things inapendeza ila tuu huku ukijaribu kufanya cost yake inakuwa juu mnoo. Anyways kila kitu ni kuamua, kujaribu na kufanya nimependa na wanaonekana wako happy I wish the happiness to last for the rest of days in their life till death tear them apart.
Japo kuna mtu (m-TZ anaishi ughaibuni yuko 39 na hajaoa, was shocked ofcourse nikamwambia, "are u sick" na alichukia ujue....) aliniambia haelewi kwanini wabongo wanaoa mapema akitolea mfano kina Jay Z umri wake na wa mtoto wake means kachelewa kuoa, Obama umri wake na umri wa watoto wake means kachelewa kuoa sasa huyu anayeishi ughaibuni mbona kaoa yanky kabisa?
Kwani hakuna mtanzania ambaye baba yake ametokea nchi nyingine?
Hivi Nate ni Mtanzania au Mnyasa?
Lakini mkuu mbona kila kitu hapo ni euro-centric sana? Ukiachilia hicho kikapu cha majani na neckties za vitenge? Where do Afro-Caribbean traditions feature in and for that matter Afrocentric traditions?
Si unesoma article? ... Inasemaje?Ndo maana ukirudi nyuma ukurasa wa kwanza utaona niliuliza hivi:
Unajua jibu lake?
Si unesoma article? ... Inasemaje?
.... mwanamke asiyeolewa hujishughulisha na mambo ya Bwana apate kujitolea mwili na roho kwa Bwana. Ila mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii ili amridhishe mumewe..."... 1Kor 7: 25-34
miaka 39 anategemea kuja kumuoa nani? tena ashindwe khaa! hata mayai yatakuwa yameisha huko!
Mtanzania ... hakuna sehemu iliposema ametokea Malawi.We umeisoma article?....Inasemaje?
It could be the "most gorgeous multicultural weddings" to those who wrote the article, lakini watu kama wewe labda mtakuwa mmeshafanya au kuhudhuria the "most gorgeous multicultural weddings".
Wakati wewe unaona picha zenye nakshi nzuri na mapambo ya kila aina...sisi wengine tunaangalia details nyingine mkuu...
Mtanzania ... hakuna sehemu iliposema ametokea Malawi.
A no brainer.
bible haiitaji editing mkuu soma ufunuo22:18 -19namshuhudia kila mtu ayasikiae maneno ya unabii ya kitabu hiki,mtu yoyote akiyaongeza mungu atamuongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. na mtu yoyote akiondoa lolote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki mungu atamuondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
Smile Biblia inahitaji editing. Nadhani fungu kama hili uliotumia kwenye signature yako hali'make' sense...
Kweli Mkuu. When you read JF content, read it with an open mind.
The more you press on people, the more they will come up with information, some you didn't even anticipate.
ahaaaa utasutwa wewe ila kile kicheko picha ya kwanza is it real!...au swaga za huko kwa boksi maana huku bongo kwenye kuapishwa mmmmhhahahaaaa we achaa tuu mie nilibaki nashangaa nikasema huyu umagharibi umeshamuathiri ila nilimuudhi zaidi nilipomwambia au si rizki?(gay) maana nikasema hadi 39 ur single no kid no wed???? mmmhh hata nilishindwa kushangaa kabisa natamani aone hapa watu wabeba boksi wenzake wanavoserebuka heheheheee
Il nimependa macho ya bibi harusi na tabasamu lake (lips), nimemfananisha na......................