Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Nov 4, 2012 #21 MtamaMchungu said: Hawa kina mangi nao wamezidi wizi!! Click to expand... Umesema?!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,980 Nov 4, 2012 #22 Hapa hamna cha kuiba, jaribu mtaa wa pili babangu Don Mangi said: Naskia kama kuna mtu kaniita. . . Click to expand...
Hapa hamna cha kuiba, jaribu mtaa wa pili babangu Don Mangi said: Naskia kama kuna mtu kaniita. . . Click to expand...
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,976 Reaction score 2,044 Nov 4, 2012 #23 Habari haijakaa sawa... Tatizo linalosemwa hapo sio wizi, ila ni kukiuka taratibu zabuni. Yalitengenezwa makalavati mengi kuliko yaliyoidhinishwa wakati wa zabuni. Ni msala wa mamlaka yenye dhamana ya ujenzi huo, mkandarasi hana kosa kiviiiile...
Habari haijakaa sawa... Tatizo linalosemwa hapo sio wizi, ila ni kukiuka taratibu zabuni. Yalitengenezwa makalavati mengi kuliko yaliyoidhinishwa wakati wa zabuni. Ni msala wa mamlaka yenye dhamana ya ujenzi huo, mkandarasi hana kosa kiviiiile...
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,410 Nov 4, 2012 #24 Wako kama vichuguu!,ila wengi ni wajane!
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 338 Nov 4, 2012 #25 arigold said: hivi wanawake wa kibotswana wakoje? au wanene kama wa Sauz? Click to expand... mimi ninae mmoja, ni wa kawaida tu kama wabongo ila wenzetu huko wanathamini sana u eupe kama wasukuma vile
arigold said: hivi wanawake wa kibotswana wakoje? au wanene kama wa Sauz? Click to expand... mimi ninae mmoja, ni wa kawaida tu kama wabongo ila wenzetu huko wanathamini sana u eupe kama wasukuma vile
C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Nov 4, 2012 #26 Afadhali huko kuna uwezekano mkubwa watakwenda jela! Chama Gongo la mboto DSM