Kanumba ni msanii mkubwa hivyo lazima taifa lifike wakati kuenzi mazishi ya watu mbalimbali wenye vipaji ata ukiwa mchekeshaji nawe pia ni sehemu ya ukuaji wa taifa letu.....RIP kanumba
Kama baba alimtelekeza Kanumba alikuwa na Haki kusema hisia zake,wewe unajua athari ambazo mtoto anaishi nazo kwa kutelekezwa na Baba yake? Si jambo jepesi,huyo baba yake Kanumba alitakiwa amwombe radhi mwanae kwa kumtelekeza kama ni mwenye Akili Timamu na Mwenye Hofu ya Mungu!!
Neno la Mungu linatutaka Watoto tuwaheshimu wazazi wetu ili tupate HERI na MIAKA mingi lakini ni Biblia hiyo hiyo inawaonya Wazazi KUTOKUWACHOKOZA watoto wao!!
Baba anapomtelekeza Mtoto,halafu mtoto akikuwa akisema kama ulimtelekeza unasemaje kwamba anakuvunjia Heshima? Utakuwa Mwehu na Tabia ya Wanaume Waovu ambao Ukimbia kulea watoto halafu akikuwa anajifanya kuwa karibu naye kuliko hata mama ambaye alimlea mwana kwa dhiki nyingi!!
Imeandikwa "Laana Isiyo na Sababu Haimpigi mtu",Kuhusu watu wanaotelekeza watoto wao Mungu anasema hivi "Yeye ni MBAYA asiyewahudumia Watu wa Nyumbani mwake kuliko asiye Amini"
Kwa maana hiyo basi,kama Kanumba amefariki ni kwa sababu zingine lakini siyo radhi ya huyo Mzee Hopeless and Irresponsible,kwa Mungu huyo ni MBAYA na atatoa Hesabu kwa nn alitelekeza Mwana!!
Kizee kama hicho hapo sasa kitakuwa kinawaza Mirathi tu maana hakina Uchungu,U cant Lose what u never had!!
tunguli in actionHii ni ajali kweli au kawekewa tunguli?
Hata sijui niamini yupi Kanumba alisema hanywi, Lulu akasema hana boyfriend na alikuwa single, Polisi wanasema Kanumba kanywa pombe kali tena "uchunguzi" unaonyesha ni kinywaji gani.....kipi ni kipi??
Muongo mkubwa wewe mbona pdiddy yupo hai usitumie hili jukwaa kutuletea habari za uongoMsimuhukumu huyu mtoto; kinachotakiwa hapa ni autopsy report kuhusu sababu ya kifo cha Kanumba. Ninadhani kuwa tuna utaratibu wa kufanya post mortem examination kwenye mwili wa marehemu iwapo kifo chake kinahusisha na uvunjaji sheria.
Miezi michache iliyopita tuliona PDiddy akianguka ghafla na kufariki bila kuguswa na mtu yeyote, inawezekana kulikuwa na sababu nyingine kama vile stroke iliyotokea kwa Merehemu Kanumb wakati Lulu anamsukuma, ambayo bado ingechukua uhai wa marehemu hata bila kusukumwa na Lulu kama ambavyo ilivyotokea kwa Marehemu PDiddy. Kujua chanzo cha kifo ni jambo la muhimu kwanza kabla ya kujadili mazingira ya kifo hicho.
Ni vizuri pia tukumbuke kuwa mabadiliko ya lifestyles za mastaa wetu yanaendanana na mabadiliko ya kiafya kama vile kupanda au kupungua kwa sugar levels katika damu, kujengeka kwa plagues za cholesterol kwenye mishpa ya damu na na kupanda kwa blood pressure mwilini. Ni vizuri sana masataa wetu wajenge utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara kuhakikisha kuwa hawana matatizo ya kiafya yaliyojificha miilini mwao yanayoweza kuchukuwa uhai wao kwa muda mfupi tu.
anatunyang'anya pointWewe ni nani tena unatutabiria bao la ushindi wakati mpira umeshaisha na ushindi unajulikana? Hata Yahya tapeli hakuwa kama wewe! alitabiri kimachale! alikuwa anasoma kwanza picha linakwendaje ndiyo aropoke
tofautisha wasanii waliotumia usanii wao kwa manufaa ya taifa zima na wanaotumia usanii wao kwa manufaa yao binafsi. Wengine wanatakiwa waenziwe na taifa na wengine na wasanii wenzao na mashabiki wao. Huwezi kunishawishi mimi leo uumie kodi yangu kusafirisha msiba wa kanumba wakati kuna wagonjwa kibao leo wamekosa dawa. Sikuwa shabiki wake hata muvi zake nilikuwa naziona accidentaly kwenye basi wakati nasafiri. Tofautisha wasanii kama l.dube,blenda fasie, bob, waliotumia usanii wao kwa manufaa ya taifa wakati wa kupigania uhuru,this is nationally kwani walipopata uhuru watu wote walinufaika. Mambo ya kanumba ni yake na mashabiki wake. Kufahamika nigeria hainiletei faida yoyote mie nisie shabiki wa huu upuuzi wanaoufanya. Huwa wanashindwa hata kufanya consultation ya sehemu zinazohusu profesion fulan!
Muongo mkubwa wewe mbona pdiddy yupo hai usitumie hili jukwaa kutuletea habari za uongo
si wote wanaokuangalia wanakupenda