daah!
hii sio pigo tu kwa wale wapenda muvie, bali ni kwa taifa.
muvie ya bongo ndo ilikua inachanua tena kwa kupuitia kwa huyu jamaa,
tz ilikua inaanza kuafahamika nje ka kupitia huyu jamaa, huyu jamaa alikua
chanzo cha ajira kwa vijana wengi, alikua fahari ya watz wa ndani na nje,
Lakin sasa eti amekufa ghafla......????
Poleni familia ya kanumba, poleni sanaa ya tz, poleni watz wote.