Tanzania yatoa kibali cha uwindaji kwa kampuni ya uwindaji iliyofungiwa

HAPA MAJANGA TU!

12993368_582304351927746_863212580339588200_n-jpg.361740
 
Hawa mbona kiti wanam hug na kumbusu kama kawaida and obvious wanaenda kumpiga Menu tens ndani ya holi lendi ? Au wenyewe wapo exempted kwenye ile sheria yetu ile?
 
Huu ufisadi umefanywa chini ya utawala wa John Magufuli. Wenzetu wakati wa Kikwete walishtuka na kuitimua hii kampuni.

Lakini sishangai kwa vile hii wizara amepewa mzee ambaye ni mstaafu na pia aliwahi kuonekana waziri mzigo serikali iliyopita. Unajiuliza kama kweli JPM yuko serious na kuleta maendeleo na kukuza uchumi, anamuwekaje MSTAAFU (miaka zaidi ya 65) na WAZIRI MZIGO WA KIKWETE kuongoza wizara inayoingiza takribani asilimia 25 ya pato la taifa? Jibu ni kuwa serikali ya awamu ya tano haijui chochote kwenye uchumi na CCM ni ile ile
 
Wangekuwa mabwana zetu wa kizungu wwamekumbatia mnyama tungewasifu sana, lakini kwa kuwa tu ni Mwarabu basi inakuwa mwao tena kwa uongo uliozushwa na hao hao wazungu kwa kukosa kitalu.

Na mijuha humu inasherehekea.
 
Serekali ipige marufuku uwindaji wa wanyama, mbona kenya na uganda wamefanikiwa.
 
Wangekuwa mabwana zetu wa kizungu wwamekumbatia mnyama tungewasifu sana, lakini kwa kuwa tu ni Mwarabu basi inakuwa mwao tena kwa uongo uliozushwa na hao hao wazungu kwa kukosa kitalu.

Na mijuha humu inasherehekea.
Umetazama video vizuri au umepigwa upofu kwa muda? Tuache matani kwenye mambo ya msingi.
 
Wangekuwa mabwana zetu wa kizungu wamekumbatia mnyama tungewasifu sana, lakini kwa kuwa tu ni Mwarabu basi inakuwa mwao tena kwa uongo uliozushwa na hao hao wazungu kwa kukosa kitalu.

Na mijuha humu inasherehekea.
 
Wewe na bibi yako apo juuu mumelogwa na aliyewaloga alishakufaga siku nyingi!!
Majuunuuun kabisa,kisa tu kale kafamilia katukufu kaliko jaaa najisi kibao kametajwa then umepanic unamshambulia mleta uzi siuende ukaulizie uko wizarani basi km ni kweli au hapana!!huna uzalendo hata chembe wkt unaona kabisa kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanyama etc!
Hebu fafanua kale kafamilia katukufu kaliko jaa najisi kibao,ni kafamilia kapi?
 
Wangekuwa mabwana zetu wa kizungu wwamekumbatia mnyama tungewasifu sana, lakini kwa kuwa tu ni Mwarabu basi inakuwa mwao tena kwa uongo uliozushwa na hao hao wazungu kwa kukosa kitalu.

Na mijuha humu inasherehekea.
Nawe unatokwa povu kwa kuwa hao jamaa ni waarabu ambao wengi wao ni ndugu zako ktk imaan?
Wewe kinachokusukuma ni ile bangi ya udini na si kingine
 
Up to just September, shillingi itakuwa madafu.... kweli kweli Shillingi itadondoka thamani....No tourists bringing dollars

Ilitakiwa hii Tourism high season, US $ Nyingi zinaingia Shillingi iwe Strong....badala ya Dola 1 ni 2190 Tshs....

Tanzania hatuna Strong Export commodities ya kutuletea Foreign currency....

Hivi TZ hakuna Wachumi wanaoweza kuforesee economic consequences?

Kuna baadhi ya wana JF wanasema ni propaganda, so wait for real consequences...

Just wait and see...No time to argue any more

Hundreds Cancelled and more diverting destination to other countries

We will see.....
 
Back
Top Bottom