Tanzania yatoa kibali cha uwindaji kwa kampuni ya uwindaji iliyofungiwa

Viwanda vya kuprocess Agriculture, consumers watatoka wapi?

Watalii ndo consumer za Factory products..

Ajira zitapotea....je watanzania watapata wapi pesa za kununua hizo bidhaa

Yaani mtu kuingia supermarket ni prestigious...

Mtu kwenda supermarket ni tajiri

Mtu kusafiri kwenda kutaliii ni tajiri???

Kwa ulaya kwenda kutalii ni utamaduni, sio utajiri

Watalii wengi ni Wafanyakazi na wanaweka akiba ili kusafiri....

Leta mfano....Tanzania wapo Mabillionaire wengi tu, wangapi wanatembelea mbuga za wanyama?
 
Back
Top Bottom