Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Anthony Mtaka ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro atafungua mashindano ya Taifa ya riadha ambapo WANARIADHA zaidi ya 450, wanatarajiwa kushiriki mashindano ya riadha ya taifa yanayotarajiwa kuanza Agosti 23 hadi 24 mwaka huu 2013 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa. Source:
450 kushiriki riadha taifa Moro