Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Yaani Ile mechi ya SIMBA na YANGA watu walivyojazana vileee....

Yaani kampeni za CCM na CDM na ile nyomiii....

Mapambano ya kina MWAKINYO na wengineo.....

HAKIKA ASHUKURIWE MUUMBA MBINGU NA NCHI...MUNGU PEKEE WA MWANZO NA MWISHO....Umetakasika Umetakasika Umetakasika!!!
 
Mtaga watasema kazi yake Magufuli๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
Taga la kwanza hili...๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
hata kama wasingemwelewa ila siku zote mwenye akili anafaulu darasani mambo ya kusema una akili alafu kila siku 0 hakuna hiyo...lazima wamwelewe tu na tafiti zao za kijuha ziendelee
Mwengine huyooo...Japo sometime anajielewa sometime hazisomi๐Ÿ˜๐Ÿ˜..Mr Jumbe.
KUJIFUKIZA....

KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU SANA....

COURAGE TULIYONAYO dhidi ya huo ugonjwa....

Hongera zake AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI kwa kututia moyo pale mwanzo!!!
...Corona imeigeuza dunia na kuleta advantages kwa politicians.
 
Back
Top Bottom