Tanzania yashuka viwango vya FIFA, Brazil yaendelea kutamba kileleni

karanisi

Member
May 28, 2017
8
1
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoka viwango vipya vya ubora wa soka duniani ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi nne.

Katika orodha hiyo ya viwango iliyotolewa leo Juni mosi, Tanzania sasa inashika nafasi ya 139, wakati nchi nyingi za Afrika Mashabiki, Kenya inashika nafai ya 74 ikiwa imepanda kwa nafasi nne, Uganda nafasi ya 71 ikiwa imepanda kwa nafasi moja.

Rwanda inashika nafasi ya 128 ikiwa imeshuka kwa nafasi 10, Burundi ipo nafasi ya 148 ikiwa ni baada ya kushuka kwa nafasi saba.

Brazil imeendelea kushika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Argentina kisha Ujerumani, orodha kamili ya timu 10 zinazoshika nafasi 10 za juu katika viwango hivyo ni:

1 Brazil
2 Argentina
3 Ujerumani
4 Chile
5 Colombia
6 Ufanransa
7 Ublegiji
8 Ureno
9 Switzerland
10 Hispania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom