jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Wewe ndio uweke ushahidi kuwa hakuna uwekezaji wa maana. Usitumie hisia alafu unataka watu wakuwekee ushahidi kwa kitu cha hisia zako.Nina uhakika hakuna mwekezaji hata mmoja wa maana tangu awamu hii iingie. Anayebisha, ataje makampuni makubwa yaliyowekeza katika awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app