Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

Nimeipitia report hiyo na sijaona makosa. Sasa Palamagamba anatuambia nini wakati kila kitu kiko clear. Jamani viongozi wasiojitambua ni mzigo mkubwa sana kwa jamii.
 
Mlifikiri mnayoyatenda hayaonekani? Endeleeni tu
 
waache kabisa kuionea nchi yetu, haijafikia kiwango cha kinyooshewa kidole juu ya ukiukwaji wa haki za binaadamu.
tumeshuhudia ukiukwaji wa haki za binaadamu kwa kiwango cha juu USA, mauaji wa waafrika weusi n.k, unapo zungumzia Tanzania ni nchi yenye viwango vya kuheshimu haki za raia wake
 
Kwa wanufaika wa mfumo uliopo,au wale wazalendo wasio halisi , hatujafika huko. Ila kwa wazalendo wakweli wanaona Hindi Hali ilivyo haribika .
 
Hiyo demokrasia ingekuwa inaminywa hata huyu Lissu asingekuwa anaropokaropoka upuuzi kama anavyofanya sasa hivi.
Ucha ufala wewe ndiyo mpuuzi kwa kwa kuona vile vya lisu ni vya kipuuzi, hiki ni kipindi cha kampeni lazima akina Lisu waseme mapungufu udhaifu ufisadi wizi uonevu wenu wote, kwa akili yako ndogo unaona kuwa Lisu alipaswa akose hiyo nafasi? nini maana ya upinzani? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali siyo kuifagilia Serikali acha upuuzi wako.
 
Kupita bila kupingwa ni mojawapo ya ushetani ambao UN wamegundua ni hatari mno
 
Nimeipitia report hiyo na sijaona makosa. Sasa Palamagamba anatuambia nini wakati kila kitu kiko clear. Jamani viongozi wasiojitambua ni mzigo mkubwa sana kwa jamii.
UN wapo sahihi kwa kweli Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu hakuna usawa hakuna haki, kupita bila kupingwa ni mojawapo ya vielelezo vya ubakaji wa Demokrasia Nchini, kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani imekuwa ni vitu vya kawaida sana.
 
Mbona waliposema mmeingia uchumi wa Kati mliimba mapambio yote.
Mkibiwa ukweli povu kama lote.
 
Nchi yenu ipi unaisemea? Acha kuwasemea wanaobambikiwa kesi kupigwa risasi kuporwa majimbo kishetani kwa kudai kapita bila kupingwa kwa njia haramu
 
Mbona waliposema mmeingia uchumi wa Kati mliimba mapambio yote.
Mkibiwa ukweli povu kama lote.
CCM wakienda ulaya kutembeza bakuri kuomba omba hovyo misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani, lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM huwageuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike.
 
Ushetani mkubwa uliopo sasa Tanzania ni neno kupita bila kupingwa kwa njia haramu, hii ni kero namba one kwa sasa ni ukiukaji mkubwa wa demokrasia, na kibaya zaidi ni hao wabunge wa kupita bila kupingwa kwenda Bungeni kusinzia, kugonga meza, kusema ndiyooo kwa kila jambo hata kupitisha miswada mibovu, Sheria za hovyo, mikataba ya ajabu ajabu, Kupita bila kupingwa ni janga la kitaifa kwa sasa
 
You can't believe these Rubbishes comes from the mouth of trusted minister
 
Hivi Bashiru alikuwa muuza ndizi mbivu au mbichi? Maana kwa jinsi anavyojitoa ufahamu nahisi alikuwa muuza ndizi mbivu tena zile kitarasa cha kupikia pombe

zile hata zikiiva hasifai kulia ubwabwa...
 
Hivi Bashiru alikuwa muuza ndizi mbivu au mbichi? Maana kwa jinsi anavyojitoa ufahamu nahisi alikuwa muuza ndizi mbivu tena zile kitarasa cha kupikia pombe

ukizila za moto jicho na zikakukwama lazima utoe jicho kama yule aliyeokotwa jalalani.
 
Yeye apinge tu kama kawaidà ya Awamu hii lakini ukweli ambao ulimwengu na Watanzania wanajua unabaki palepale hata kama angepinga mpaka damu itoke badala ya machozi haitabadili ukweli huo. Umoja wa Mataifa (na sisi ni wanachama) huwa hawakurupuki na wako kila mahali nchini wakiishi kama sisi na kuona kila kinachotendeka. Toka Awamu hii iingie madarakani sifa ya nchi yetu kimataifa imeharibika sana kwamba wananchi hawajivuni tena kuwa Watanzania kama ilivyokuwa huko nyuma wakati wa Nyerere wakitembea kifua mbele kote duniani. Kupinga ukweli ulioletwa na Taasisi unayoiamini na kuendelea kuwa mwanachama wake mtiifu ni kuonyesha ujuha wako na wa waliokutuma maana huko ni kujaribu kuficha ukweli usiofichika. Cha kufanya ni kurekebisha na kujirekebisha ili tuhuma zisijitokeze tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…