Kaka nashukuru kwa mchango wako. Ila nakuambia hapa unapoteza muda wako kuwambia hawa wajinga ni lipi jeshi lao na nchi yao imefanya ndani na nje ya mipaka kwa ajili ya waafrica na hata ulimwengu mnzima.
Njaa na kutokuwa na kazi ndio majawabu haya,upuuzi kila kona. Tukianza na suala la kazi, ni nani wa kuwalaumiwa? Viongozi walio madarakani au hawa vijana wanao wachagua?
Jwtz ni kitengo ambacho pia tusipo angalia wanasiasa watakiharibu pamoja Usalama wa Taifa kuna ukabila na udini kiasi mado maaadili hayajekwenda popote.
Nguvu yenu nyinyi wafia njaa hapa jamiiforum, mnaotukana nchi na vipngozi wenu, ni kura zenu.
Mnataka nchi bora? Chagueni viongozi bora na katiba bora muache kulalamika kama wanawake.
The king.
achana nao hiyo link nimewawekea km bado wanawaamini Al-Shabab au wasomali km kahtaan asemavyi wanuse ardhi yetu watajua kilichommnyoa M23sometimes tumia ubongo hata kidogo,kuna vitu naona kama sio vya uwezo wako ,unajua kuwa vilivyo bora leo jana yake viliaminishwa kuwa ni bora kabla ya wakat wake? hujaelewa
mkuu nini kimekuuma?hutaku unaacha,kwani umekabwa?
Nini kiko nyuma ya hizi sifa? Wanatuandaa kisaikolojia kuingia Somalia kupambana na ugaidi wa alshabab kama si Nigeria kwa book haram,au vote. Mkulu wetu kwa kupenda sifa,atakubali kuwapeleka vijana wetu. Vifo vilivyotokea Sudan,DRC vinatosha.

Mkuu woga uliona kuhusu kufa hauko kwa wanajeshi..they are trainned to die for their country and ts people..kufa kwa. mwanajeshi vitani ni ushujaa.
hivi dunia nzima hakuna nchi zenye majeshi ya kupelekwa huko?:japan hawana jeshi?
huwezi kubweteka na sifa kama hizi ni hatari sana