Tanzania yapaa kijeshi Duniani


aisee, nlijua tu huu ni udaku. sikutaka ku-log in, ila ilibidi ili tu nicomment
 
hujasikiliza vizuri kama kweli wamesema hivyo wamekudanganya ukitaka kupata ukweli ingia google hata katika nchi bora 10 zenye jeshi zuri africa haimo mkuu.

hujuhi unaongekea nini kaka,hii ni july 2014,hii ni hapa mpya,achana na historia
 
kwa mtu anayejua jeshi ni rahisi kuelewa,amini hili,kwasasa jeshi tuu la polisi tanzania wanatoa mafunzo ambayo majeshil mengine ya nchi nyingine yameshindwa,jaribuni kuangalia,ffu ni moja kati ya the best force duniani,wana military training ya 2 years alaf ndo polisi
 
Inaonesha huna au unauelewa mdogo wa mambo ya kijeshi wewe.
 
Source yako ni clouds fm, hao wanajua umbeya na kuusifia watu , wao na masuala ya kijeshi wapi na wapi? Acheni kutii aibu jukwaa hili
Mkuu mbona unaongea mambo kama mtu aliyeshindia uji tu.
 
ili kuprove hiki kitu itabidi jeshi la tanzania liende likapambane na boko haramu
 
Yale maonyesho ya watu waliokomaa pale uwanja wa Shamba la bibi, kumbe yametupandisha chati eeh...

Unajiita Mussolin, hata genesis ya jina lako hujui, hii ni kejeli au dhambi? Kwa sababu babu yako hakuwepo ndo unakejeli wa tz wanaokufanya ulale. Miaka ijayo hata km si mtoto wako lazima mmoja wa ukoo wako atakuwemo usihofu.
 
Kitu ambacho watu hawakijui ni kuwa hizi ranks hutolewa Kama zile za FIFA yaani kuna zile nchi ambazo Wao majeshi Yao ni the best of all the time na nyingine ni mpaka wapige mechi kadhaa, Kama mechi ambayo Tanzania tuliipiga nchini Congo DRC hivi karibuni ndiyo imetupandisha na wametusifu na hivi punde US and UN watatupangia mechi nyingine nchini Somalia na Boko Haram Nigeria.
Kitu kingine ni lazima watanzania waamini na kukubali kuwa Jeshi lao kwa Sasa ni bora kuliko Uingereza, China, Urusi, Israël, Misri, India, Italy, German, North Korea, Cambodia, Colombia, Pakistan, na nchi nyinginezo Kama List inavyoonyesha, tusidharau Data jamani, hizi Data tafiti zinaghalimu mamimilioni ya hela.
Tanzania tupo imara sana Kijeshi kwa sasa, tukubalini tu, wala tusiogope.
 

Ha ha ha ha mkuu you made my night eti kama Nyani kanyimwa Ndizi.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mhhh...! Hapa nina ukakasi, yaani katika list waisrael, wachina, warusi, wajerumani wamesubiri.? Hapana aisee, hapa kuna kitu. Ingawaje Tanzania naamini tuna jeshi bora, ila si la kumsubirisha shayatet ya israel.

Hapa kuna namna.
 
Kama ni kibonde sahau hapo ni 0%
 

na baadae tutapangiwa mech na german au israel
 

Hahaahaaa! Usinikumbushe ya Westgate, jamaa badala ya kufanya kazi wakakimbilia kukusanya sukari, chumvi na sabuni kwenye mifuko ya rambo!!
 
Source yako ni clouds fm, hao wanajua umbeya na kuusifia watu , wao na masuala ya kijeshi wapi na wapi? Acheni kutii aibu jukwaa hili
Tanzania ina wanajeshi hodari hasa wale wa klauds akina djjy fetty na mchomfu wanagonga mbaya
 

Kaka nashukuru kwa mchango wako. Ila nakuambia hapa unapoteza muda wako kuwambia hawa wajinga ni lipi jeshi lao na nchi yao imefanya ndani na nje ya mipaka kwa ajili ya waafrica na hata ulimwengu mnzima.

Njaa na kutokuwa na kazi ndio majawabu haya,upuuzi kila kona. Tukianza na suala la kazi, ni nani wa kuwalaumiwa? Viongozi walio madarakani au hawa vijana wanao wachagua?

Jwtz ni kitengo ambacho pia tusipo angalia wanasiasa watakiharibu pamoja Usalama wa Taifa kuna ukabila na udini kiasi mado maaadili hayajekwenda popote.

Nguvu yenu nyinyi wafia njaa hapa jamiiforum, mnaotukana nchi na vipngozi wenu, ni kura zenu.

Mnataka nchi bora? Chagueni viongozi bora na katiba bora muache kulalamika kama wanawake.


The king.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…