Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,074
- 5,913
Mkiwa mnajadili suala lololote linalohusu nchi, pia muangalia na sababu tofauti tofauti zinazochangia uwepo wa wa hizo tofauti. Population ni kigezo kimoja wapo cha sababu ya Tanzania kuizidi Kenya mihamala ya mobile money.Tanzania yaongoza duniani kwa thamani ya miamala ya mobile money,
Hii inaonesha namna Tanzania ilivyo na uchumi mkubwa na shughuli nyingi za kiuchumi ukanda huu kutokana na thamani ya transactions za pesa kwenye mzunguko kuwa kubwa kuliko Taifa lolote ukanda huu wote
Hongereni Tanzania kwa kuwa na uchumi halisi na sio wa kwenye makaratasi wala wa kupika.
View attachment 1631890View attachment 1631891