bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,374
- 3,972
Serikali ya Tanzania imeamua kuzirudisha hisa 35% za TTCL kutoka kampuni ya simu za mkononi kutoka India Bharti kwa gharama ya $7.07m.
Serikali imesema inataka umiliki wa 100% kwenye shirika hilo la umma iki kuliokoa kutoka uhaba wa fedha unaolikabili.
Nini madhara ya uamuzi huu wa serikali kwenye moja ya sekta ambayo inaongoza kwa ukuaji?
====================================
Source: Indiatime

DAR ES SALAAM: Tanzania's government has agreed a deal to buy back a 35 per cent stake in a state-run telecoms company from the local subsidiary of India's top mobile carrier Bharti Airtel for 14.6 billion shillings ($7.07 million), a senior official said.
The east African nation says it wants to regain 100 per cent ownership of the Tanzania Telecommunications Corp (TTCL) to recapitalise the cash-strapped firm, which provides mobile voice, data and fixed-line services.
Source: Indiatime