Tanzania yanunua tena 35% ya TTCL

Tanzania yanunua tena 35% ya TTCL

Hongrereni ttcl mashirika mengine yaige mfano hivi kuna hasara gani kuendesha benk? Nimeshangaa sana serikali ilipofanya uamuz wa kuibinafsisha NBC kwa wazayuni hivi benk ya biashara ya taifa taifa lilishindwa kuiendesha kiukweli au ni uhuni uhuni wa mamlaka zetu? ni wakat ss wa serikali kurudisha mashirika yetu yote tena mara moja
 
Udini ulete wewe useme FaizaFoxy. Majanga.

Huo "udini" uko wapi hapa:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Ulikuwepo wakati Mwinyi anawachiwa nchi na Nyerere? na ukaisikia hotuba ya Mwinyi ya "mikuki miwili" muda mfupi baada ya kukabidhiwa nchi?

Au umeshindwa kujibu maswali niliyouliza umekimbilia kujificha kwenye "udini"? Udini ndiyo ngao yako?

Jibu hoja, wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Umesahau neno moja leo....nilitarajia uandike punguani wahed
 
Sikujua TTCL ina worth ndogo kiasi hicho! yani $7M ni 35%? That makes the total company's worth less than $20M, kama kampuni ya mawasiliano thats nothing.
 
Waliokuwa wanasimamia mashirika ya umma ni wale waliopewa upendeleao wa kusomeshwa na wakayaua yote. Na unawajuwa ni akina nani.

Mkuu umenikumbusha machungu! Kulikuwa na kampuni mbili za uholanzi moja Ikiwa na jina la MSI detcom kitu kama hicho wakanunua shares ttcl baadae wakaform celtel ambayo binti moja jina sekela mwando.... Mwaka2001 alikaa hotelini akiwa masomoni South kwa bill ya celtel ingawa hakuwa staff wa celtel watu wakawa wanaguna kuhusu jambo hilo
 
Back
Top Bottom