Tanzania yangu nimetumia sana

Tanzania yangu nimetumia sana

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
422
Reaction score
205
Habari ya mwaka mpya 2026🔥 wakuu

Binafsi nimesikitika sana kuona jwtz wakiingia barabarani tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 2026 huku nilipo.

Hii ni sawa na maumivu yanayotukumbusha yaliyotokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Hivi kweli maisha yanaweza kuwa sawa tena kama tulikotoka.
 
Back
Top Bottom