Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,349
- 2,757
Pongezi kwa nchi yetu. Kiwanda hicho kipige hatua baada ya miaka 10 tuwe tunatengeneza hadi airbus๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
View attachment 3199878
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.
Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.
View attachment 3199879
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.
Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.
View attachment 3199881
Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.
Ndo tujifunze kutoka kwa hao Czech.Kichwa cha habari ni kama click bait, Tanzania haitengenezi ndege zake zenyewe, Bali hiyo kampuni ya Czech imetengeneza Assembling plant, yaani wanaingiza vifaa kuna kuunganishwa maana ni nafuu ku-import parts na kuunganisha kuliko ndege nzima.
Hii haina tofauti kama vile bajaji zinavyoingizwa nchini ambazo huja kuunganishwa nchini. Hakuna kifaa hata kimoja kinachotengenezwa nchini.
Mimi nilifikiri wateengenezaji ni watanzania!, kumbe ni kampuni kutoka Czech! Tuendelee tu kujidanganya!!๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
View attachment 3199878
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.
Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.
View attachment 3199879
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.
Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.
View attachment 3199881
Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.
Kwani hatuwezi kutengeneza?Mimi nilifikiri wate
Mimi nilifikiri wateengenezaji ni watanzania!, kumbe ni kampuni kutoka Czech! Tuendelee tu kujidanganya!!
Mimi sijui ๐๐Kwani hatuwezi kutengeneza?
Hauwezi kujifunza Kwa mtindo huu, nchi inapotaka kujifunza huundwa joint ventures Kati ya kampuni ya wazawa na hiyo ya kigeni na ikiwezekana unalazimisha wazawa washiriki pia kwenye hatua zote(r&d, designing, manufacturing na marketing). Mfano mzuri china na kampuni za magari ya ulaya baada ya mwaka 1979.Ndo tujifunze kutoka kwa hao Czech.