Tanzania ya Viwanda

What is going on over here!
 
Nyie tulieni Mh Makonda akimaliza hili anahamia kwenye viwanda! Kutakuwa na viwanda kila kata.....!!!
 
Tanzania ilimuhitaji Makonda kitambo....watu walijisahau sana kwa umagumashi.
 
Sio kwa Tanzania nayo ijua mimi tanzania yetu ni ya kiki na upuuzwaji wa mambo unaweza iita tanzakiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…