Ndio mkuu ili bibi yako nae anywe chai yenye sukari na vijana wengne laki moja wapate ajira.Hela zetu za fao la kujitoa walilotupora ndiyo wanajengea viwanda, aibu tu hiyo
Kwa kupora hela za wengineNdio mkuu ili bibi yako nae anywe chai yenye sukari na vijana wengne laki moja wapate ajira.
Kwani chadema hawapendi viwanda?habari mbaya sana hii kwa chadema
Ni Mara chache sana kuwakuta wakipost habari kama hz hapa jfhabari mbaya sana hii kwa chadema
Amen.Tunashukuru sana kwa dua yako Mtanzania mwenzetuNi muumini wa dini na nawajibika kumuombea mema kila binadamu na jambo lolote, lakini huu mradi hauwezi kufanikiwa! Kutoka kwenye uwekezaji wa majengo hadi kwenye mashamba wapi na wapi, shamba sio kama jengo kwamba yakikosa wapangaji kama Machinga Complex unalazimisha wapangaji wasio rasmi kama taasisi za umma!
Mashamba ya miwa hapo meng ya kutosha ila hapo mwanzon wakulima weng walikosa motivation kutoka na kutokuwa na uwakika wa soko.lkn sasa hv wameyarudia mashamba yaoHawa wameshaandaa mashamba ya miwa,maana kiwanda kikubwa kinahitaji raw material ya kutosha,yaani miwa,
au wataagiza miwa toka china nini?
Nia ipo,uwezo upo so hakuna litakaloshindikanaMimi nilifikiri kwamba wameshajenga majengo tayari kumbe hata majengo yenyewe bado? kushindwa ni asilimia kubwa sana kwa sababu ya kujengea hela ya dhuruma
CDM wana hisa % ngapi kwenye hizo fedha? Hizo ni habari kero kwa sisi wenye senti zetu huko.habari mbaya sana hii kwa chadema
Tayari wanga wameshaanza kutoa tabili zao mbaya.Hongera sana serikali yangu, jambo la heri ila wale jamaa wa upinzani watakuja na vitisho kua mradi huu hautafanikiwa