TANZANIA YA VIWANDA:NSSF,PPF washirikiana kutekeleza ujenzi wa kiwanda cha sukari morogoro.

Rodney01

JF-Expert Member
May 14, 2013
826
828
mifuko ya hifadhi ya jamii PPF na NSSF kwa pamoja wanajenga kiwanda kikubwa cha sukari katika eneo la Mkulanzi mkoani Morogoro,kiwanda hicho kinatarajiwa kuwa kikubwa zaidi Afrika ya mashariki na kitatoa ajira 100,000 katika hatua ya awali.(picha na maelezo ni kwa msaada wa blog ya issamichuzi).
 
Attachments

  • NSSF 2.jpg
    NSSF 2.jpg
    197.4 KB · Views: 110
  • NSSF 4.jpg
    NSSF 4.jpg
    45.6 KB · Views: 96
  • nssf 5.jpg
    nssf 5.jpg
    47.2 KB · Views: 88
  • nssf 6.jpg
    nssf 6.jpg
    50.1 KB · Views: 94
  • NSSF 7.jpg
    NSSF 7.jpg
    44.7 KB · Views: 79
  • nssf 8.jpg
    nssf 8.jpg
    49.8 KB · Views: 85
Hela zetu za fao la kujitoa walilotupora ndiyo wanajengea viwanda, aibu tu hiyo
 
Ni muumini wa dini na nawajibika kumuombea mema kila binadamu na jambo lolote, lakini huu mradi hauwezi kufanikiwa! Kutoka kwenye uwekezaji wa majengo hadi kwenye mashamba wapi na wapi, shamba sio kama jengo kwamba yakikosa wapangaji kama Machinga Complex unalazimisha wapangaji wasio rasmi kama taasisi za umma!
 
Hawa wameshaandaa mashamba ya miwa,maana kiwanda kikubwa kinahitaji raw material ya kutosha,yaani miwa,

au wataagiza miwa toka china nini?
 
Amen.Tunashukuru sana kwa dua yako Mtanzania mwenzetu
 
Hawa wameshaandaa mashamba ya miwa,maana kiwanda kikubwa kinahitaji raw material ya kutosha,yaani miwa,

au wataagiza miwa toka china nini?
Mashamba ya miwa hapo meng ya kutosha ila hapo mwanzon wakulima weng walikosa motivation kutoka na kutokuwa na uwakika wa soko.lkn sasa hv wameyarudia mashamba yao
 
Mimi nilifikiri kwamba wameshajenga majengo tayari kumbe hata majengo yenyewe bado? kushindwa ni asilimia kubwa sana kwa sababu ya kujengea hela ya dhuruma
 
Mimi nilifikiri kwamba wameshajenga majengo tayari kumbe hata majengo yenyewe bado? kushindwa ni asilimia kubwa sana kwa sababu ya kujengea hela ya dhuruma
Nia ipo,uwezo upo so hakuna litakaloshindikana
 
habari mbaya sana hii kwa chadema
CDM wana hisa % ngapi kwenye hizo fedha? Hizo ni habari kero kwa sisi wenye senti zetu huko.

Je, kiwanda cha sukari kimeingia kwenye saccoss ili kupata fedha kutoka NSSF? Maana mimi mwenye mafao yangu niliambiwa nijiunge saccoss, sasa sijui tunaanzishaje saccoss watu wawili pale kazini!

Hii nchi ilikuwa nzuri sana hapo awali
 
Hongera sana serikali yangu, jambo la heri ila wale jamaa wa upinzani watakuja na vitisho kua mradi huu hautafanikiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom