Tanzania ya Rais Samia ipo vizuri sana kiuchumi na ndio maana maelfu ya ajira yanaendelea kumwagwa kwa vijana kila uchao. Huwezi kuajiri kama upo hoi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Tanzania Ya Rais Samia ipo Vizuri sana kiuchumi,uchumi wetu ni Imara sana ,Uchumi wetu ni wenye afya na ulionawiri. Ndio sababu mnaona hata shughuli za ujenzi zinaendelea kila kona ya Nchi hii bila kujalisha ni Masika ama kiangazi.kila unakopita unaona watu wakijenga nyumba za kuishi , Fremu za Biashara na hata nyumba za kupangisha.

Hii yote ni kwa kuwa mifuko ya watanzania imenona na inawaruhusu kufanya shughuli hizo . Hii yote ni kwa kuwa hali ya uchumi ni nzuri na yenye mzunguko mzuri wa pesa mitaani. Hii yote ni kwa kuwa serikali imewekeza vya kutosha katika ustawi wa wananchi.

Kila unakopita unaona miradi mbalimbali inayotekelezwa na kugharamiwa na serikali ikiendelea bila kukwama wala kusua sua. Ukipita huku unakuta vyumba vya madarasa vikijengwa , zahanati,vituo vya afya vinaendelea kujengwa bila kumchangisha mwananchi hata Mia .

Hivi sasa tunashuhudia serikali ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ikiendelea kwa kasi kubwa sana ambayo hajawahi kushuhudiwa katika Taifa letu kutoa na kumwaga ajira kwa vijana Maelfu kwa maelfu kila Uchao. Vijana wanapishana katika Mahalmashauri yetu wakiripoti na kupangiwa vituo vya kazi.

Ifahamike ya kuwa huwezi Kuajiri ama kutoa kibali cha ajira ama kuita watu makazini ikiwa huna pesa mfukoni ama Hazina ama kwenye kibubu chako. Utaajiri ili uwalipe nini? Utatoa wapi mshahara wa kuwalipa ? Utawasafirisha vipi watumishi hao?

Leo tunashuhudia miradi ikiendelea kujengwa. Je unaweza vipi kujenga na kutekeleza miradi ikiwa huna pesa? Utawalipa nini wakandarasi? Utanunulia nini vifaa tiba ,madawa na hata kuwafanya watumishi waendelee kusalia vituoni? Unaweza vipi lipa Mishahara kwa wakati ikiwa ipo hoi bin taabani kiuchumi?

Lakini leo tunashuhudia mishahara ikiwahi kutoka hata kabla ya Tarehe kufika kwa sababu serikali ina pesa ya kutosha ,makusanyo yanaongezeka kila Uchao ,uchumi upo vizuri na Hazina yetu ipo vizuri.

Kwa hiyo ni lazima watanzania Tujivunie Rais wetu aliyefanya na anayeendelea kufanya kazi kubwa ya kuimarisha uchumi wetu. Sera nzuri za kiuchumi ndio unafanya hata sekta binafsi kufanya vizuri na hata kutoa fursa za ajira kwa vijana na hata kuongeza wigo wa mapato na kikodi. Ni lazima watanzania Tumlinde na kumuunga Mkono Rais wetu kipenzi.

Ni lazima watanzania tuwe wakali sana kwa yeyote atakaye jaribu kukwamisha juhudi za Rais wetu Kwa Taifa letu. Lazma tufahamu Rais wetu amejitoa na kujitolea kwa ajili ya ustawi wetu watanzania. Angalieni hata leo hii tuna akiba ya kila kitu kuanzia Chakula ,Fedha n.k. Hizo zote ni kutokana na kazi njema ya Rais wetu katika kuhakikisha Taifa linakuwa na utayari wa kukabiliana na changamoto yoyote ile inayoweza kujitokeza mbele yetu kama Taifa.

Ndio Maana Mama anatoa mabilioni kwa mabilioni ya pesa kama Ruzuku kwenye pembejeo ili wakulima wapate pembejeo hususani mbolea kwa bei nzuri ambayo mkulima anaweza kumudu. Leo serikali yetu inatoa Elimu Bure kabisa hadi kidato cha sita ,huku mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ikiendelea kutokea. Lakini pia Bajeti za wizara mbalimbali inaendelea kuongezwa ili kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa ufanisi . Ndio maana mnaona Bajeti ya kilimo imepaa kufikia Trilioni Moja na point kutoka Billion mia mbili na pointi.

Kwa hakika Rais Samia ni Zawadi kwetu tunayopaswa kuitunza kwa wivu Mkubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537662
Screenshot_20260130-103758~2.png
 
Acha vijana wale maisha unakuta mwingine anashindwa hata kutenga dakika 30 afanye application kutwa nzima Anapigia debe michango ya Tundu Lissu
 
Huyu Mama akitaka kutawala vizuri afanye Lobbying kwa makampuni ya Google na Meta wafute video Clip za Magufuli zilizoenea katika server za makampuni hayo ili kuwasahaulisha watanzania kiongozi bora aliyepita mtenda haki na kipenzi cha wanyonge ...
 
Wewe huna akili, upo tu kama kiazi unajiandikia utumbo wako na kujisikia furaha. Look at the bigger picture, miaka kadhaa utasoma mabandiko yako na kujitukana. Foolish!
Wewe ndiye huna akili kabisa na wala hujitambui kabisa. Umebeba kichwa kama mzigo tu wa boga bovu.
 
Back
Top Bottom