Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 601
- 2,508
Watu wasiojulikana;
1. Walimteka Roma
2. Walimpiga risasi Tundu Lissu
3. Walilipua ofisi za wakili Fatma Karume
4. Walilipua ofisi za wakili wa Manji
5.Wanatupa miili ndani ya viroba Coco beach
6.Wamemteka mwandishi wa habari Pwani.
7.Walimteka Ben wa Saanane.
8.Walimtisha Nape kwa bastola.
Ongeza matukio mengine ya wasiojulikana kuona Tanzania yetu Leo.