Tanzania ya Nyerere chungu kimoja na wanazuoni wa Koromije

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Nimecheka niaje? Yaani nimefikiria hizi kauli zinazotolewa na hawa viongozi wanazuoni wa Koromije, ikabidi nimkumbuke mwalimu tu.

Watanzania tuliwaonya sana juu ya hawa wanazuoni wa Koromije, ambao wao wanajidai ni mafundi wa kila kitu.. Siasa, Dini, Uchumi, Biashara na chungu mbovu ya kauli zenye utata.. Vijembe humo humo, ubaguzi humo humo, ukabila humo humo.. Wivu humo humo..

Kuna saa nakaa nafikiria hivi nchi imepiga hatua gani lakini sioni kitu tangible.. Yaani naona kama yale yote ya utawala uliopita ambayo kidogo yalikuwa na unafuu kwa maisha ya wa Tz yameondoka.. Declining public sector (hakuna new public employment offer yoyote), Biashara zinabanwa, private sector zinaminywa, Nepotism ya wazi wazi.. Ubabe....

Mara huyu mwanazuoni mngine kaiba cheti cha mtu... Yaani shakalabagala

Yaani Twafaaaa!! Hawa wanazuoni wa Koromije wametuamulia, mbona tunalo mwaka huu...
 
Yaani hawa jamaa wa koromije wamerudisha kila kitu mwalimu alicho kataa kama vile Udini na Ukabila
Mi hayo tu ndio yana niskitisha, huko kufeli kwingine nilijua watafeli tuu, maana hawana akili toka kitambo.
Ila udini na ukabila ndio umewajaa bado huduma nyingine hawatoi.
Mwafwaa!
 
Maigizo yao hayana tofauti na hawa madogo na si ajabu hata hawa wanawashinda kwa kuona mbali.,yaani kama huyu actor mkuu wa koromije nikimwangalia ninabaki hoi.
6e3353dd8608a5a5243c989f61e65a8b.jpg
 
Back
Top Bottom