Raizon na bwanga (bana juu achia chini ndio kipindi chake) ,pia ndio kipindi cassete za vhs ziliingia[emoji3] [emoji3]Miaka ya 80 filamu za Kihindi zilikuwa maarufu sana.
Baadhi ya wacheza filamu nyota wa kipindi hicho, kama Mithun Chakraborty, kwa mfano, walikuwa wanakuja hadi Tanzania.
Pia ni miaka ambayo mitindo ya nywele kama 'shegi' na 'panki' ilivuma sana.
Na kama sijakosea, madawa ya kubadilisha nywele [kali kiti - curl kit] ndo yaliingia nchini.
Vijana wa hapo jijini Dar miongoni pamoja na wengineo ni Lemutuz na mh Mbowe. Pia Bonnie Love.Tanzania ya miaka ya 60, 70, 90 na kuendelea ina kumbukumbu nyingi ambazo nyingi tunaziongelea katika mazungumzo yetu ya kila siku kila tunapozungumza mambo ya siasa, uchumi, kijamii na historia yetu kwa ujumla.
Ila kwa muda nimegundua kuna uhaba wa mazungumzo na kumbukumbu za kutosha kuhusu kipindi cha miaka ya 80. Najua kilikuwa ni kipindi kilichokuwa na changamoto na pilikapilika nyingi, mfano hali ya kisiasa huko Zanzibar, mwisho wa vita vya Kagera na changamoto zake, kung'atuka kwa Mwalimu nk. Ila naona bado sipati picha kamili ya hali ya kijamii ilivyokuwa kiujumla hapa Tanzania.
Nikiongezea, naweza kusema muongo ule wa 1980 inawezekana ndiyo umetoa athari kubwa zaidi (nzuri na mbaya) za kisiasa, kiuchumi na kijamii tulizonazo leo hii.
Wahenga embu mtujuze basi.
Bila kusahau break dance shebedoo na boogaloo ndio walikuwa wakali wa kalikiti, kwetu hapo utamkuta black Moses, blood Moses, queen tiffa. Digadiga. ,Kelly jhon sammy cool hawa wote uzao wa kwa macheniMiaka ya 80 filamu za Kihindi zilikuwa maarufu sana.
Baadhi ya wacheza filamu nyota wa kipindi hicho, kama Mithun Chakraborty, kwa mfano, walikuwa wanakuja hadi Tanzania.
Pia ni miaka ambayo mitindo ya nywele kama 'shegi' na 'panki' ilivuma sana.
Na kama sijakosea, madawa ya kubadilisha nywele [kali kiti - curl kit] ndo yaliingia nchini.
Ebana eeh...Digadiga namkumbuka sana.Bila kusahau break dance shebedoo na boogaloo ndio walikuwa wakali wa kalikiti, kwetu hapo utamkuta black Moses, blood Moses, queen tiffa. Digadiga. ,Kelly jhon sammy cool hawa wote uzao wa kwa macheni
And i $=5Tz ndiyo sababu kuna kitu naitwa dala dala.Tanzania ya miaka ya 60, 70, 90 na kuendelea ina kumbukumbu nyingi ambazo nyingi tunaziongelea katika mazungumzo yetu ya kila siku kila tunapozungumza mambo ya siasa, uchumi, kijamii na historia yetu kwa ujumla.
Ila kwa muda nimegundua kuna uhaba wa mazungumzo na kumbukumbu za kutosha kuhusu kipindi cha miaka ya 80. Najua kilikuwa ni kipindi kilichokuwa na changamoto na pilikapilika nyingi, mfano hali ya kisiasa huko Zanzibar, mwisho wa vita vya Kagera na changamoto zake, kung'atuka kwa Mwalimu nk. Ila naona bado sipati picha kamili ya hali ya kijamii ilivyokuwa kiujumla hapa Tanzania.
Nikiongezea, naweza kusema muongo ule wa 1980 inawezekana ndiyo umetoa athari kubwa zaidi (nzuri na mbaya) za kisiasa, kiuchumi na kijamii tulizonazo leo hii.
Wahenga embu mtujuze basi.
Vita haikuwa miaka ya 80
Majibu yanayotofautiana ninayopata mpaka sasa yanadhihirisha kwamba ni kipindi ambacho ni mystery sana kwenye kumbukumbu zetu. Hivi hii ni kwa makusudi au?
We Pohamba ni lini umeinyalandu CCM?...... Lugha yako haieleweki nowdays!!MiaKa hiyo vyuma vilikaza kuliko Hali ilivyokuwa sasa Mpumbavu wa wakati huo Kichaa chake kikampanda akaanzisha 'Uhujumu uchumi' kutesa na kufilisi Watu Kama afanyavyo Kichaa wa sasa japo juhudi hizo hazukumsaidia chochote 'Mnyonge' aliekuwa anatetea asihujumiwe
Sabuni za majani ya mpapai, unga wa njano na ule wa mtama ilikuwa kawaida sana!Nakumbuka uhaba wa sukari ulipelekea tunywe chai iliyotiwa sukari-guru au wakati mwingine tunatwanga miwa tunakamua juisi inachemshwa hadi inakuwa nzito kama asali badae inatumika kama sukari