Tanzania ya 2 kwa Usafi Duniani, Kenya ya No 1; Nchi za Kiarabu zaongoza kwa UCHAFU/TOXIC Countries

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
most-toxic-countries-small-615

If you want clean air, avoid the Middle East and breathe well in clean Kenya
Takwimu hizi zimeangalia zaidi usafi wa anga.
Takwimu hizi zinafaida gani kwa Taifa letu?
Source:International energy Agency (IEA) na WHO
 
Usafi gani hivi !!

Imeangaliwa UCHAFU WA HEWA/AIR POLLUTION, Yaani rate of discharge of GreenHouse Gases (Carbon dioxides, Methane, Nitrous Oxide, Fluorinated gases). Watu Million saba hufa kila mwaka duniani kutokana na madhara ya hewa chafu.
 
Viwanda vichache,magari machache...misitu kibao lazima kuwe na hewa safi.
 
Back
Top Bottom