Tanzania women dating

Tanzania women dating

You can easily find local singles, dating partners, womens, girls, mans, new friends, singles from all over the world and Tanzania

Huu ndio ukuwadi ulio laaniwa!

Unawatongozeshea watoto wa wenzako!

We wanao na dada zako wamo humu!

Nyie ukimwi hauwatoshi kuwa ni fundisho la kuacha uasherati!? Mpaka mletewe balaa gani ndo mjue kuwa uasherati kabla ya ndoa ni nuksi na ni kitendo cha haramu!

Eeh Mungu! Warudishie EBOLA hawa ambao wanaendelea na zinaa!
Amin.
 
Huu ndio ukuwadi ulio laaniwa!

Unawatongozeshea watoto wa wenzako!

We wanao na dada zako wamo humu!

Nyie ukimwi hauwatoshi kuwa ni fundisho la kuacha uasherati!? Mpaka mletewe balaa gani ndo mjue kuwa uasherati kabla ya ndoa ni nuksi na ni kitendo cha haramu!

Eeh Mungu! Warudishie EBOLA hawa ambao wanaendelea na zinaa!
Amin.
Mmmmhhhh nahisi tuko mmu,hapa ni chitchat jamani!
 
Mmmmhhhh nahisi tuko mmu,hapa ni chitchat jamani!

Samahani ndugu bishanga! Lkn huwezi kuupamba ukuwadi kwa kuuita ni chitchat!
Zinaa inaangamiza mataifa yetu! Maradhi yasio tibika yanasambaa kwa kasi mno! Watoto wanakosa wazazi na kubaki yatima! Ndoa zinavunjika kila leo!
Na yoote haya huanzishwa na kitu kama hiki!
Hizi website za kuwakutanisha watu kwa ajili ya kufanya uasherati zinatakiwa zipigwe marfuku kabisa! Na zikemewe sana!
 
Kitu kutoka zenji!!!!

pic.php

We sifia laana tu! Utakuja ondoka na kilo 2! Au watakuzika kwenye mfuko wa rambo.
 
Dating Tanzania - You can easily find local singles, dating partners, womens, girls, mans, new friends, singles from all over the world and Tanzania

Dah Nimeenda huko naambiwa ip yangu imekuwa Banned? duh! hii ilikuwa ni tatizo langu haswa kwenye chat za kibongo miaka ya nyuma... mtu ndio kwanza unaingia unaambiwa upo banned DHW chatzone pia
 
Back
Top Bottom