Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wewe una kiasi gani kwenye akaunti yako ?Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.
Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.
Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.
Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...
So many social media groups but with stupidity inside.
Mkuu nilipoteza contact zako natafta Sana nikupigie sizioniWewe una kiasi gani kwenye akaunti yako ?
Wewe ni moderator au umejiajiri kwenye forex?Wengine tumo humu kama ajira unataka tufanye nini au tukale wapi...!!?
Sisemi kituu ila wewe ndio mpuuzi mkubwa sana
Umekuja kufanya nini huku?
Umesahau na baa kila siku.Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.
Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.
Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.
Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...
So many social media groups but with stupidity inside.
Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.