Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,452
- 2,220
Kweli na ww ni mtanzaniaTanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.
Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.
Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.
Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...
So many social media groups but with stupidity inside.