In addition to mswahili's maelezo, Kushika nafasi ya 100 kwa UK bado kipo juu sana ukilinganisha na vyuo vingine duniani hasa duniani ya tatu. Kumbuka, katika the best 200 universities in the world, hakuna hata chuo kimoja kutoka Afrika! Hamna cha UDSM wala University of Capetown! Sasa katika hali hiyo wewe unafikiri kama chuo cha akina Nungwi (Mzumbe) kitakuwa wapi katika hiyo list, unaweza kucheka badala ya kulia!