Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Full time Tanzania 0 - 1 Zambia
Ni siku nyingine tena katika Group A team ya Taifa ya Tanzania U-20 aka Ngorongoro Boys wakikipiga katika uwanja wa Suez Canal na team ya Taifa ya Zambia, kuanzia saa 12 jioni.
Hadi sasa Ngorongoro Boys hawajapata ata point moja wala goli moja baada ya kupoteza kwa South Africa na Sierra Leone, ivyo tunashika mkia katika Group A lenye team 5.
Mechi ya leo na mechi ijayo dhidi ya wenyeji Egypt itatoa mustakabali wa hawa vijana wetu.
Kila lakheri.