galaxy jose
Member
- Jun 19, 2019
- 5
- 9
Kwa kauli za wabunge wawili wa kenya juu wa watanzania waishio kenya kupata nafasi ya kufanya biashara mf. Kuuza matunda/maduka, wakenya waishio tanzania kukosa ajira.... inaonekana kuna mgongano wa kimaslahi kati nchi hizi mbili. Hii ni kwa raia mmoja mmoja, makubaliano ya kiserikali, na kubiashara.