S U N N Y
Member
- Sep 22, 2018
- 95
- 153
Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee.
Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe.
Hoja hii binafsi inanileta kwenye fikra kwamba bado Siasa zetu ni za wachumia matumbo Licha kwamba Tanzania Ina grounds nzuri za kimaendeleo, ila grounds hizo hazitufaidishi sababu wanasiasa wanafikiri zaidi kwakutumia matumbo kuliko vichwa vyak.
Kiufupi Grounds tulizonazo ambazo ni potential haziwezi kuzaa matunda sababu hatuna Viongozi wenye bigger visions kwa taifa Bali kwa maslahi yao wenyewe.
TANZANIA:
# tunazungukwa na nchi nane ambazo zingeweza kuwa soko la bidhaa zetu na malighafi.
#tuna ardhi kubwa ambayo inalimika (arable) ambayo ingetosha kufanya mapinduzi ya kilimo.
#tuna population kubwa ya kuitumia ktk primary production and consumption.
# tuna political stability ya juu kuliko most of the eastern and centre Africa.
# tuna bandari kubwa kabisa ambazo zipo katika strategical area.
# tuna good climatic condition kulingana na shughuri nyingi za uzalishaji.
# tuna eneo kubwa Sana ambalo irrigation inawezekana.
# tuna misitu mikubwa Sana for wood products.
#tuna madini mengi.
#kwakipekee tuna chuma na tuna makaa ya mawe vitu muhim kwenye mapinduzi ya viwanda.
# tuna mbuga na vivutio vingi Sana vya utalii.
1. Hoja za kuleta ubunifu juu ya namna wanaweza kuajiri au kuwawezesha vijana kujiajiri hakuna anaeziongea.
2. Hoja za kuboresha kilimo na kuleta more inclusion of technology ili kuongeza uzarishaji ktk sekta hii ambayo ni uti wa mgongo hakuna anaeongelea
3. Hoja ya kuboresha mfumo wa elimu kwakuongeza recruitment as mashuleni bado Kuna deficity ya walim kwa 40% hauna anaeongelea as watoto wao hawasomi shule za serikali . Ambapo kwa takwim za wizara ya elim ratio ya walim na anafunzi kwa elim ya awali ilofikia 1: 150 and above on most of the schools.
4. Hoja za kuongeza mapato kupitia national resources badala ya Kodi hakuna anaeziongelea.
Ila Sasa ...
1. Wanajenga hospitali nyingi bila kutoa elim Bora kwa watoto wa kitanzania ili waumwe waende wakatibiwe....
-wanaweka mifumo kandamizi ya Kodi ili tuumwe pressure wakatutibu.
3 . Wanafocus kuchora ramani ya nchi, kuandika vibao vya kuonyesha mitaa, kusambaza mkonge wa taifa kwenda kufata ofisi za serikali ambazo zingeweza kutumia njia mbadala za mtandao Ila hawataki kuwawezesha vijana kufikia uhuru wa kiuchumi sababu wanaogopa wataashindwa kututawala.
Upande wa pili na waona wapinzaninwakipambana na new constitution kuliko kitu chochote na huku 2014 walisusia mchakato. Baada ya kua washachukua mabilioni ya posho za vikao.
Saivi wanataka Tena warudi kwenye mchakato uleule. Nia yao kuu ni moja tu na wao waingie madarakani.
TANZANIAN POLITICS SUCKS AS WELL.