Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

Kigogo aanajulikana sana, sema yuko nje ya nchi ndio maana ni ngumu kumnasa!

Yani yuko kama alivyokuwa Mange tu
Una uhakika gani Kigogo sio Jiwe na kwamba anatuchezea akili tu kujisagia mwenyewe kunguni?
 
Kigogo aanajulikana sana, sema yuko nje ya nchi ndio maana ni ngumu kumnasa!

Yani yuko kama alivyokuwa Mange tu
Tunamsagia Meko kunguni mpaka alowe yaani
 
Mbona inafahamika aliyepo nyuma ya hiyo account ya kigogo ni Zitto na crew yake sema serikali bado inatafuta uthibitisho usio na mashaka ichukue hatua rasimi.

Sambamba na Hilo, kitendo cha serikali kusumbuliwa na huyo mtu mmoja tu kwa kipindi chote hicho tena kwanjia ya mtandao, kinaonesha tuna serikali dhaifu Sana.

Kama kigogo tu pekee ana access ya kupata taarifa nyeti kabisa za kiserikali, magaidi wenye nyenzo za kijasusi si ndio watakuwa wanajua mpaka boxer anayovaa mkulu na sehemu anayolala.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Tunamsagia Meko kunguni mpaka alowe yaani
Mbona sioni kipya?

Meko tayari ni rais na kigogo wako alisema ana kituo cha kuhack matokeo kutoka NEC ili wamtangaze lisu!

Sasa hivi na yeye anali lia tu ili mabeberu wakate misaada[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui jipya kutoka kwa kigogo ni lipi? Yale matusi au?
 
Mkuu kigogo anajulikana ila yupo nje ya nchi ndio maana inakuwa ngumu kumshika.

Si uliona juzi juzi aliposema amefiwa na baba yake aliposti pichaa ya ndege eti anakimbia haraka haraka kumuogopa meko[emoji23][emoji23]

Kingine, hivi unaweza kuleta siri nyeti ya selikali aliyowahi kuleta kigogo mitandaoni ambayo ni hatari kwa selikali?
 
Sasa unataka wakutajie?

We unafikiri bbc wanaweza kumjua kigogo mpaka wanamhoji alafu selikali isimjue?
Kwani BBC ni tawi la serikali?

Lugola si aliapa kumtia nguvuni na kumtaja hadharani?

Kama wanamjua, kwanini waliomba physical address na taarifa binafsi pindi account yake ilipokuwa suspended?
 
Sio kweli,

Zitto alishakamatwa simu zake mara kadhaa wakidhani watapata kitu kuhusu kigogo.

Kigogo hana uhusiano wowote na zitto
 
Reactions: BAK
Kumbe una mfollow kwa VPN?

Ni kosa kutumia VPN
 
Reactions: BAK
Mbona analeta za jikoni nyingi tu?
 
Kingine, hivi unaweza kuleta siri nyeti ya selikali aliyowahi kuleta kigogo mitandaoni ambayo ni hatari kwa selikali?

Kama ulinielewa vizuri niliposema Kama kigogo tu pekee anaweza kupata taarifa muhimu za mipango ya siri ya serikali, je kwa magaidi au watu wenye nia ovu na serikali itakuwaje!?

Kwa ufupi hapo nilimaanisha serikali yetu hii na taifa zima kwa ujumla tuna weakness kubwa sana yaani tuko uchi na siku tukipata waasi wenye nguvu hatutasalimika.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kigogo anajulikana na ni mpumbavu tu anayetumika kama toilet paper!

Hana taarifa zozote za maana zaidi ya matusi na Mungu anaendelea kumjibu:-
1. Alisema mkuu wa nchi kafia ujerumani na washabiki wake wakapeperusha mitandaoni bendera ya Tz nusu mlingoti! Alipojigundua kaongopa hata msamaha hakuomba!!!

2. Alitangaza mama wa bwana mkubwa kafa hivyo akazike mzoga wake. Mungu sio Athumani baba yake Kigogo Mzee watu Mlawa akafariki hapa Ifakara! Kigogo akashindwa hata kuzika mzoga wake kama alivyotukana wengine!

3. Amehamasisha sana vurugu wakati wa uchaguzi! Watanxania sio wajinga! Walimdharau agenda ikafia mbali.

4. Alidanganya na anadanganya vitu vingi sana watanxania na wengine tumpuuze!

Ni wakati tweeter wafute kabisa akaunti hii ya Hong na iloyojaa ghiliba na matusi.

Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…