Tanzania, Uganda order ships from Kenyan military firm

Mutaitina

JF-Expert Member
Mar 6, 2021
798
1,450
Kenya Shipyard Limited (KSL) has received six orders from Tanzania and Uganda for the construction of ships, raising the business prospects of the newly formed entity.

The firm’s deputy director, Peter Muthungu, added that it had another 11 orders from local firms for the construction of the ships.

“In total, we have got 17 orders from different companies that want us to construct ships for them,” said Col Muthungu.

Col Mathungu, however, did not give the cost of making one ship, pointing out that the process needs to undergo three evaluation stages before the final figure is arrived at.

Kenya's government spokesperson Cyrus Oguna said Kenya is keen on utilising the shipyard across the region given that it’s the only facility currently around.

“This shipyard will play a significant role not only in Kenya but also in handling ship-related issues across our neighbouring countries,” said Rtd Col Oguna.

The firm is seeking to leverage the 40 percent tax waiver on shipbuilding equipment by Treasury to increase its operations in the region.

KSL says its partnership with Damen Construction Company, which has shipyards in South Africa and Egypt and 39 shipyards across the globe, will enhance Kenya’s quest to be a regional ship construction hub in its long term strategy.

Source: Tanzania, Uganda order ships from Kenyan military firm
 
GDP ya Kenya ni ya kupika! tunawalisha wakenya!
Je, meli moja inaweza nunua mahindi tani ngapi?
 
Jameni kuna baadhi ya habari kama hizi zinapaswa na vimbwanga vya kumeremeta (blinking buttons)....dah! yaani tu basi.
 
Kwani hizo meli mnatupa bure? Nasisi tuna jeuri ya fedha za kununua meli,

Umeonaee!! Hamna kitu kitamu kama jeuri ya hela, unakua na uhuru wa kuruka huyu unanunua kwa yule mwenye huduma bora na hakuna mwenye uwezo wa kukusema.
 
Tanzania inanunua meli ngapi hapo kenya? Zina ukubwa gani na muundo gani? Na Kwa bei gani?

Naona taarifa bado ina elea elea tu hakuna findings na details za kueleweka. Au ndio uchovu wa kupiga kwata thika road baada ya nauli kuwa double muandishi kachoka kuweka the full details?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nyie limeni tule sisi, tutanunua mahindi maana jeuri ya hela tunayo.
Sisi tuna jeuri ya chakula. Tunawezalima tukapika tukala in case msiponunua. Nyie mtakula meli tusiponunua? Hakuna bingwa mbele ya njaa na maradhi. Mengine yanavumilika
 
Jeuri ya hela inatuwezesha kununua mahindi popote tunakotaka, kila mkinuna kutuuzia huwa tunaagiza kwingine, ndio raha ya hela, wanasema tafuta hela upunguze kujieleza......hehehe!!!
 
Jeuri ya hela inatuwezesha kununua mahindi popote tunakotaka, kila mkinuna kutuuzia huwa tunaagiza kwingine, ndio raha ya hela, wanasema tafuta hela upunguze kujieleza......h
Jeuri ya hela inatuwezesha kununua mahindi popote tunakotaka, kila mkinuna kutuuzia huwa tunaagiza kwingine, ndio raha ya hela, wanasema tafuta hela upunguze kujieleza......hehehe!!!
Bro hiyo habari inaelea elea juu kwa ju,tanzania haiwezi na haitoweza kuagiza meli kutoka kenya ata siku maana hapa tanzania kuna makampuni mengi sana yanayofanya hiyo kazi mfano mzuri ni kampuni ya SONGORO Marine ya jijini Mwanza ambayo imetengeneza meli nyingi ata za hapo kenya hasa hasa Nyanza county kama unabisha waulize wajaluo wa hapo kisumu watakwambia
 
Njoga boy hebu pitia hapa wacha bla bla mingi 👇
 
Tanzania inanunua meli ngapi hapo kenya? Zina ukubwa gani na muundo gani? Na Kwa bei gani?

Naona taarifa bado ina elea elea tu hakuna findings na details za kueleweka. Au ndio uchovu wa kupiga kwata thika road baada ya nauli kuwa double muandishi kachoka kuweka the full details?

Njoga boy hebu pitia hapa wacha bla bla mingi 👇

Tugboat siku zote huwa ship!
 
Back
Top Bottom