Una wivu mbaya saaaaaana du .Pole maana usingizi unapata wewe kweli jamani ,upo USA unawaza Chadema pole mnooooo
Washington ndiyo nini hata hapa nilipo kuna picha za maiti za watoto wa Iraq, Afganistan, Libya, Libya.
Chadema wanategemea waingizwe madarakani na Marekani.
Utumwa wa kiakili mbaya sana.
Ukipita kwenye mitaa ya Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street [adams morgan]. Utona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya Tanzania. Ni picha za akina mwangozi, mauaji ya morogoro, mauaji kule songea, na arusha. Watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana. Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue. Tupate ukweli wake.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
HII NI HATA RI SANA..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Posted by kabange kitongoni at 4:24 PM
Nakumbuka sana maneno ya babu yangu alinambia mjukuu wangu mkiwa na tatizo ndani ya familia kaeni myamalize wenyewe.Kwenda kusema nje ni kujidhalilisha kwani hata hao mtakaoenda kuwaambia nao wana matatizo yao pia.Nikilichukulia hili suala katika ngazi ya kitaifa kitendo hiki si cha kiungwana hata kidogo.Ni lini Marekani wamewahi fanya upuuzi kama huo?Tuwe wazalendo jamani.
JK akawekewa vikwazo vya kutosafiri nje ya nchi, tayari itakuwa ni death
penalty kwake, kwa sababu atakuwa hawezi tena kubadili blad, kwa hiyo
lazima afe tu....
EU na USA wanajua hii ni serikali y aki-islamists hasa baada ya kupigwa risasi Father huko Zanzibar, na influence ya Waarabu katika serikali ya sasa.
Yaliyowapata Lwakatare na Lema ,tayari yako kwenye radar Ulaya.
EU bado wanafund budget yetu,hivyo hawafurahi repressive regime kama ya sasa
Aisee, ahsante sana mkuu wangu! Lakini tuendelee kuwa marafiki hata tutakapo tofautiana kwa hoja manake ni kama "sieleweki eleweki hivi!" Pamoja sana mkuu wangu MleliYou are my friend, from now on you are my friend humu JF,
SIjapata kumuona mtu anajenga hoja kama wewe hapa JF.
Ubarikiwe mkuu.
A very simple question to you: Je, unazani muda wote huu USA walikuwa hawafahmu nini kimetokea Tanzania hususani kuhusiana na suala la Ulimboka, Mwangosi na Kibanda?Washington ndio mambo yote, lile bango kuwekwa pale ndio mwake. Acheni unafiki,nyinyi ndio mnaoichukia marekani halafu mnahangaika kutaka viza za kwenda huko, ILE NDIO USA KIBOKO YA WALE WENYE MLENGO.......
kwani hao uliowataja wamewahi kujipigia debe kuwa wao ni "Kisiwa cha Amani?"Washington ndiyo nini hata hapa nilipo kuna picha za maiti za watoto wa Iraq, Afganistan, Libya, Libya.Chadema wanategemea waingizwe madarakani na Marekani.Utumwa wa kiakili mbaya sana.
Washington ndiyo nini hata hapa nilipo kuna picha za maiti za watoto wa Iraq, Afganistan, Libya, Libya.
Chadema wanategemea waingizwe madarakani na Marekani.
Utumwa wa kiakili mbaya sana.