Tanzania uchi wa mnyama sasa...

Tanzania uchi wa mnyama sasa...

environmental

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,054
Reaction score
137
Nimepita kwenye mitaa ya hapa Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan]. Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya CCM huko Tanzania. Ni picha za akina mwangozi, mauaji ya morogoro, mauaji kule songea, na arusha. Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?. Kuna mwingine akasema imebadilika sana. Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue. Tupate ukweli wake.
 
kazi ya CHADEMA eti ndio wameshitaki poor CHADEMA poor Mbowe,poor Slaa
 
Hhahahaha Mkimbizi wa Washington anajaribu kuja na propaganda za kizamanii! Endelea na ujinga wako huko huko kuivua nguo Tanzania
 
Good move mkuu! Mi najua Makinda anamiliki shule hapa Dar, hoteli gani hiyo nisiingie? Sitaki kulogwa mie
 
Ndio kama nilivyosema kwenye post yangu ya jana hapa JF na wengi kunipinga kuwa huu ni wakati muafaka wa kuwawekea vikwazo vitakavyowaathiri watawala moja kwa moja na si wanaaanchi wa kawaida.

Wapeni misaada lakini muwapige marufuku kukanyaga Ulaya na Marekani.Fungieni akaunti zao na kadhalika.

Watanzania mlioko Ulaya na Marekani mtusaidie katika jambo hili.
 
Hii mbona bado sisi ndo tunajiandaa kumalizia mabango yetu na kuyatandaza hapa hakuna kulala hadi kieleweke. JK asifikiri huku nje tumelala anakuja hapa anasema yeye anao utawala bora akarudi nyumbani week haijaisha akaanza utawala wa kidectater shame. Sisi wote tulioko nje ndo tunasambaza huu ujumbe na tutahakikisha Jk na utawala wake wataenda mahakama ya kihalifu full stop
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
 
Inabidi Tanzania iwekewe vikwazo vitatu.
watawala wetu kutoruhusiwa kusafiri ulaya na marekani kwani wanafuja pesa zetu
Japan kutoiuzia serikali ya Tanzania magari ya kifahari
Nchi wahisani kukatiza misaada yao ya fedha kwani misaada hiyo inaliwa na wachache huku tukibakiwa na deni kubwa la taifa fedha ambazo hazijulikani zimetumikaje.
Tuna madini ya kila aina, gesi,utalii na kilimo, tukinyimwa misaada tutatia akili.
ukisoma hii post kuna mijitu inapinga kila kitu kwa vile imetumwa kuharibu jukwaa letu.
copy kwa mlengo wa kati, stroke, M23, bungeni na wengineo wasio na haya ya kuitakia mema nchi kwa vile wanashiba matumbo yao.
time will tell.
 
Mkuu mimi ni wa kwanza nilishawahi kuipeleka ile report kwenye ofisi moja ila kama unavyojua hawa watu huwa hawakurupuki wanafanya utafiti wa kina soon you will see everthing will be open. Utawala huu umetushinda sasa tulioko nje na ndani ya nchi tuukatae kabisa. Juzi amekuja hapa na cheka yake anasema anao utawala bora yeye anafikiri sisi ni wajinga hatusomi humu JF na kuyaona matukio ya kikatili yanayofanywa chini ya uongozi wake. Unafikiri yeye hayaoni haya kafunga masikio ila mahakama ya kihalifu yanamsubiria. Naapa nitafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huu uhalifu wote nauanika hapa niliko hadi wajue utawala ulivyo kwa sasa. Twende kazini
Ndio kama nilivyosema kwenye post yangu na wengi kunipinga kuwa huu ni wakati muafaka wa kuwawekea vikwazo vitakavyowaathiri watawala moja kwa moja na si wanaaanchi wa kawaida.

Wapeni misaada lakini muwapige marufuku kukanyaga ulaya na Marekani.Fungieni akaunti zao na kadhalika.

Watanzania mlioko ulaya na Marekani mtusaidie katika jambo hili.
 
Nimepita kwenye mitaa ya hapa washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan].Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya ccm huko Tanzania.Ni picha za akina mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji kule songea,na arusha.Nimeona watu wengi wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.Kuna mwingine akasema imebadilika sana.Tunachotakiwa ni kupiga simu au kumweleza congress man wako kuhusu hii issue.Tupate ukweli wake.
Una wivu mbaya saaaaaana du .Pole maana usingizi unapata wewe kweli jamani ,upo USA unawaza Chadema pole mnooooo
 
Inabidi Tanzania iwekewe vikwazo vitatu.
watawala wetu kutoruhusiwa kusafiri ulaya na marekani kwani wanafuja pesa zetu
Japan kutoiuzia serikali ya Tanzania magari ya kifahari
Nchi wahisani kukatiza misaada yao ya fedha kwani misaada hiyo inaliwa na wachache huku tukibakiwa na deni kubwa la taifa fedha ambazo hazijulikani zimetumikaje.
Tuna madini ya kila aina, gesi,utalii na kilimo, tukinyimwa misaada tutatia akili.
ukisoma hii post kuna mijitu inapinga kila kitu kwa vile imetumwa kuharibu jukwaa letu.
copy kwa mlengo wa kati, stroke, M23, bungeni na wengineo wasio na haya ya kuitakia mema nchi kwa vile wanashiba matumbo yao.
time will tell.
Mtakosa misaada muwe Kama Zimbabwe .viongozi Watabakia kula nyie Haya
 
Asante sana mtoa mada.
Heshima ya Tanzania ni kitu cha thamani kubwa sana., si tu kwa watanzania wenyewe, bali pia kwa wote wenye mapenz mema na Tanzania.. Ukweli kuwa heshima hii tumeivunja wenyewe hatuwezi kuukataa., ama kwa matendo, maneno au kutokutimiza wajibu wetu. Naumia kwakuwa mataifa yanapata tafsiri mbovu ya taifa letu.. Serikali nayo haijafumbua macho kuuona ukweli.. Tujiandae kufanya maamuzi. Mlioko nje ya nchi nanyi rudini ili tuamue kwa pamoja..
Linda heshima ya Taifa,
Linda heshima ya Tanzania,
Linda heshima ya watanzania...
 
JK akawekewa vikwazo vya kutosafiri nje ya nchi, tayari itakuwa ni death
penalty kwake, kwa sababu atakuwa hawezi tena kubadili blad, kwa hiyo
lazima afe tu....
 
Back
Top Bottom