Tanzania Tunaibiwa kwa sababu ......

Tanzania Tunaibiwa kwa sababu ......

Vujole

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
33
Reaction score
22
Kila kukicha utasikia hili ama lile kuhusu kuibwa kwa mali za nchi yetu Tanzania. Juzi Madini ya Mwadui, Jana Yuraniamu ya Bahi, Leo Mabilioni hazina, kesho gesi ya Mtwara, kesho-kutwa Twiga, ndovu na faru; lahaullal!

Moja ya sababu ni kwa vile tunavyo vya kuibwa. Maana Tz ingekuwa fukara ingeibiwa nini? "Masikini hafilisiwi!!" Kumbe, Tanzania ni tajiri ajabu.

Au una sababu nyingine?
 
Back
Top Bottom