Tanzania tunahitaji umoja wa mataifa kuondoa mkwamo wa kisiasa na demokrasia

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
737
Kwa matukio yanayofanywa na serkali ya awamu ya 5 chini ya Magufuli dhidi ya wananchi wapenda amani ni vema sasa mataifa yaingilie kati kutatua mkwamo wa kidemokrasia Tanzania

Nchi ya Tanzania kwa sasa inapitia mazingira magumu chini ya udikteta, uvunjifu wa haki za binadamu, kama vile watu kuuliwa na kuteswa na kutekwa lakini pia watu kupewa keai wasozifanya kama vile uhujumu uchumi, na uchochezi ni kesi za kubambikizwa wa wapinzani wa serkali ya Magufuli

tunaomba hatua mbalimbali zifanywe na umoja wa mataifa kuhakikisha hali kama ya zamani inarejea
Mataifa yanajua ni hatua gani hufanywa kwa serikali onevu kwa wananchi
-Kulaani vikali haya yote yanayoendelea hapa nchini
-Kuweka vikwazo mbalimbali vya kiuchumi kwa nchi husika inayofanya udharimu kwa demokrasia
-Kushiriki kuiondoa serikali ya kidikteta kwa mabavu kupitia majeshi ya umoja wa mataifa kama ilivyokuwa Libya na kwingineko duniank

Enyi umoja wa mataifa tunawahitaji hapa nchini Tanzania mtusaidie kumtoa jiwe wananchi tubaki na awani yetu tuliyoijenga kwa muda wa zaidi ya miaka hamsini tangu uhuru.
 
Mabeberu hawawezi kutetea watu wasiojitambua mpaka watu wajitambue kwanza wakandamizwe mpaka akili ziwajae kiufupi 50% bado ni wapumbavu.
 
Nkurunziza amebanwa hadi ametangaza mwakani ametangaza hagombei tena muhula mwingine licha ya kubadili katiba nakujihalalisha atawale hadi mwaka 2034 kama Kagame. Mabeberu yasipotoa kibali viongozi Wa Afrika ni mkate mgumu kwenye chai
 
Back
Top Bottom