Tanzania Tunahitaji Rais Mwanasheria

GALLABA

Member
Dec 19, 2016
63
119
Kutokana na hali halisi,
Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa mikataba hiyo mibovu itaendelea kututafuna miaka 1000 na Siku zote sisi ni mabingwa wa kushindwa kwenye kesi za kimataifa, Tanzania tunahitaji Rais mwanasheria Infuture

images
upload_2017-5-27_11-36-53.png
 
Usomi unachangia mtu kujua mambo ila km hajiwezi katika kustudy na kujistify realities hataweza kutusaidia.
 
Uongozi unaongozwa na busara tu mengine yote yatafuata busara
 
Sidhani, anatakiwa awe wa proffesion yoyote ila awe anawasikiliza wataalamu kwa vitu asivyokuwa na utaalamu nao...kuna mwingine alisema tunahitaji rais aliyesomea uchumi, mwingine aliyefanya biashara,
Kwa kuongezea,
Urais ni taasisi,rais ni Mchumi, ni Mwanasheria,ni mkemia, ni mwanabaolojia n.k,hawa Wataalam wote kama Rais anao katika ofisi yake tena wa Level za juu Zaidi, kinachotakiwa ni Utulivu,uelewa wa mambo,busara na uwezo wa kusikiliza, kupima na kufanya maamuzi kwa busara na tija kwa taifa.

Uwezo wa kuwaunganisha wataalamu wote kwa pamoja kwa maslahi ya taifa letu.

Tukiacha ile sifa mama ya Uongozi ambayo ni Karama kiasili.
 
Wanasheria ni very mec
Kutokana na hali halisi,
Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa mikataba hiyo mibovu itaendelea kututafuna miaka 1000 na Siku zote sisi ni mabingwa wa kushindwa kwenye kesi za kimataifa, Tanzania tunahitaji Rais mwanasheria Infuture

images
View attachment 515159
Yaweza kuwa ni wazo jema ila ninavyofahamu mm, wanasheria ni very mechanical ktk kuongoza. Kama umeshauri hivyo kwa kigezo cha Elimu mm nafikiri Mhasibu anafaa zaidi kwasababu mitaala yao imegusa maeneo mengi;labda naye afanye kusudi kutula
 
Kutokana na hali halisi,
Chanzo cha Umaskini na Wizi ni mikataba mibovu, sera ya uwekezaji ni nzuri ila tumepata wawekezaji wabovu na wametufunga na kutusainisha mikataba mibovu hasa kwenye sector ya madini,gesi na rasilimali mbali mbali na hivyo kujikuta Nchi ni Maskini,...na mpaka sasa mikataba hiyo mibovu itaendelea kututafuna miaka 1000 na Siku zote sisi ni mabingwa wa kushindwa kwenye kesi za kimataifa, Tanzania tunahitaji Rais mwanasheria Infuture

images
View attachment 515159
Mwanasheria na mwenye akili km Tundu Lissu, wanasheria wote hawana akili, wapo wajinga wengi tu
 
Unaweza kuwa na lawyer halafu akatumia taaluma yake kuwapiga kama kawa.

Tulikuwa na msomi wa Harvard Chenge kama AG and we all know what happened pengine ndiyo kipindi ambacho ujinga mwingi ulitendeka.

Huyo uliyeweka picha yake hapo ukiiona katiba ya chama chake na huo unguli wa sheria anaodalaliwa nao ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Mlisema wakati wa kikwete tunataka Rais kijana mungu akawapa baada ya miaka 10 nchi ikawa shamba la bibi, baadae mkasema sasa tunahitaji Rais dictator mungu akawapa Dr Magufuli hata hajamaliza miaka 5 tunataka tena Rais mwanasheria ...ukiangalia mambo yote magufuli anayofanya yalisha zungumziwa bungeni miaka mingi ila yaliwekwa kapuni ukiangalia Rais wetu anacho fanya matokeo yake sio leo .....nikesho hata ukileta mwanasheria kama akina Lisu hao wote wamebarikiwa kuongea ila vitendo check kwenye majimbo yao...Ushauri wangu tumwache Rais aendelee na vision yake nasie tubadilike kifikra ili tujitambue thamani yetu kwanza ....tz tuna bahati kwa haya yote anayo fanya Mheshimiwa Rais, kwa nchi za Afrika kwa sasa sio rahisi kwa kiongozi kufanya anayo fanya Rais kwani kila mtu africa anamapembe huwezi mwabia kitu...magufuli piga kazi tuko pamoja..
 
Dictator uchwala
 
Aaaaaah!.
tunahitaji rais MKULIMA,
tunahitaji rais MVUVI
tunahitaji rais Mwanasoka.
tunahitaji rais mwenyee..........
Kwa nini sio tunahitaji wananchi walio hivi au vile?.
Tunahitaji wananchi wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom