Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,023
- 144,381
Asante,pamoja sana kamanda.I agree
Natamani wahusika wangekusoma. Hii land Agency nchi nyingi zimeenda Jamaica kujifunza jinsi wanavyoitumia including Tanzania. Sasa baada ya kurejea nyumbani sijui hata km walitoa mrehesho, au walitoa lakini hawakusikilizwa. Watakaokubishia watabisha tu ila umeongea la maana.Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.
Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k
Kitengo cha Ardhi katika wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.
Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.
Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.
Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?
Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.
Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
Kama mtu ameshindwa kufanya kazi kwa sababu yeyote ile atimuliwe kazi awekwe mwingine anayeweza kufanya kazi kwa hata kwa bajeti ndogo iliyoko. Na wafanye kazi kwa uaminifu. They are civil servants.Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.
Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k
Kitengo cha Ardhi katika wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.
Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.
Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.
Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?
Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.
Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
Viongozi wetu huenda huko kutalii tu.Binafsi nimetoa wazo hili kwa kuangalia Taasiai kama EWURA na nyinginezo na sikujua kabisa kuwa kuna nchi zina Agency za aina hii.Ahsante kwa taarifa.Natamani wahusika wangekusoma. Hii land Agency nchi nyingi zimeenda Jamaica kujifunza jinsi wanavyoitumia including Tanzania. Sasa baada ya kurejea nyumbani sijui hata km walitoa mrehesho, au walitoa lakini hawakusikilizwa. Watakaokubishia watabisha tu ila umeongea la maana.
Better late than never mkuu.Wazo zuri na limechelewa
Kuna id nilitegemea ningeona mchango wao lakini kumbe. Mimi sio mthamini wala suveyor ila nafwatilia sana mambo ya estate agency. Well,iko siku.Ukishangaa ya Magufuli na serikali yake utaona ya member wa JF.
JF ukileta mawazo yako uchangiaje wake utategemea zaidi na ID yako na si nini umeandika.Lakini ukileta habari ya tukio ID si tatizo maana sifa ya watanzania ni kupenda kujadili matukio na habarin za watu maarufu hasa wanasiasa.
Unapoleta mada yako hapa JF lenga zaidi ujumbe uwafikie wahusika na wala si member wa hapa jukwaani ambao kipimo chao cha hoja hutegemea ID ya mleta mada.
Haya mkuu nashukuru.Mkuu ukiacha siasa unakuwa na akili sana
Nakuunga mkono kwa hiliKama mtu ameshindwa kufanya kazi kwa sababu yeyote ile atimuliwe kazi awekwe mwingine anayeweza kufanya kazi kwa hata kwa bajeti ndogo iliyoko. Na wafanye kazi kwa uaminifu. They are civil servants.
Ni wazo zuri sana hili. Ningelipenda kama politicians watakubali hili suala, iitwe Tanzania property and Registration Agency (TPRA). Hii itasaidia sana kuondoa usumbufu katika masuala ya land and property rights kwa citizens. Wizara ibakie na masuala ya pilocy formulation, mobilizations and legal and policy enforcement. Tukiwa na Agency inayojitegemea, kutafanyika mambo mazuri sana. Binafsi nimejaribu kuangalia nchi nyingine ambazo nazo zilikuwa na hali mbaya ya land management and administration like Lithuania, Georgia etc, wamekuja kufanya vizuri sana baada ya kuwa na Agency husika as one stop shop. Sasa hapo kwetu, kila kitu wizarani, watu wanajazana paleeee, huduma ni shida. Pia, katika masuala ya plan approval, hili ndo tatizo kubwa na linachelewesha mambo mengine kufanyika.Eti mpaka Director wa Town planning ndo afanye approval ya mchoro ndo implementation ifanyike wakati katika kila Municipality, District wapo watu ambao wameajiliwa na wanaweza kufanya hizo kazi na kuwezesha zoezi liende vyema. Decentralization of powers inatakiwa kufanyika na sio kumsubiria mtu mmoja ndo aidhinishe land use plan and cadastral survey plan. Kwa nini zifanyike wizarani tu? Kwa mawazo yangu hakuna logic, tunapoteza muda mwingi na rasilimali. We need to find an innovative way of doing these stuffs.Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.
Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k
Kitengo cha ardhi katika Wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.
Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.
Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.
Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?
Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.
Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
Asante sana kwa mawazo mazuri na yenye kuboresha.Be blessed.Ni wazo zuri sana hili. Ningelipenda kama politicians watakubali hili suala, iitwe Tanzania property and Registration Agency (TPRA). Hii itasaidia sana kuondoa usumbufu katika masuala ya land and property rights kwa citizens. Wizara ibakie na masuala ya pilocy formulation, mobilizations and legal and policy enforcement. Tukiwa na Agency inayojitegemea, kutafanyika mambo mazuri sana. Binafsi nimejaribu kuangalia nchi nyingine ambazo nazo zilikuwa na hali mbaya ya land management and administration like Lithuania, Georgia etc, wamekuja kufanya vizuri sana baada ya kuwa na Agency husika as one stop shop. Sasa hapo kwetu, kila kitu wizarani, watu wanajazana paleeee, huduma ni shida. Pia, katika masuala ya plan approval, hili ndo tatizo kubwa na linachelewesha mambo mengine kufanyika.Eti mpaka Director wa Town planning ndo afanye approval ya mchoro ndo implementation ifanyike wakati katika kila Municipality, District wapo watu ambao wameajiliwa na wanaweza kufanya hizo kazi na kuwezesha zoezi liende vyema. Decentralization of powers inatakiwa kufanyika na sio kumsubiria mtu mmoja ndo aidhinishe land use plan and cadastral survey plan. Kwa nini zifanyike wizarani tu? Kwa mawazo yangu hakuna logic, tunapoteza muda mwingi na rasilimali. We need to find an innovative way of doing these stuffs.
Leo wamekuja na wazo kama hiki ila wamelenga maswala ya pango.Wazo zuri na limechelewa
Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.