Tanzania tunahitaji kuwa na chombo maalumu kitakachojulikana kama Tanzania Land Agency

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.

Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k

Kitengo cha ardhi katika Wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.

Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.

Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.

Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?

Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.

Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
 
Last edited:

Kitengo cha Ardhi katika wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.

Natamani wahusika wangekusoma. Hii land Agency nchi nyingi zimeenda Jamaica kujifunza jinsi wanavyoitumia including Tanzania. Sasa baada ya kurejea nyumbani sijui hata km walitoa mrehesho, au walitoa lakini hawakusikilizwa. Watakaokubishia watabisha tu ila umeongea la maana.
 
Kama mtu ameshindwa kufanya kazi kwa sababu yeyote ile atimuliwe kazi awekwe mwingine anayeweza kufanya kazi kwa hata kwa bajeti ndogo iliyoko. Na wafanye kazi kwa uaminifu. They are civil servants.
 
Viongozi wetu huenda huko kutalii tu.Binafsi nimetoa wazo hili kwa kuangalia Taasiai kama EWURA na nyinginezo na sikujua kabisa kuwa kuna nchi zina Agency za aina hii.Ahsante kwa taarifa.
 
Topic ya maana imekosa wachangiaji. Mkuu Salary Slip sisi waTZ tumelogwa na aliyefanya hivyo katangulia mbele ya haki. WaTz walienda JM Jamaica mwaka jana katikati. Hata Antigua wana Land Agency nzuri ila hiyo ya JM nchi nyingi zinajifunza huko. Mtiririko uliopo unafwatilia au unaiona doc kila inapopia kwenye ofisi yoyote ile. Utaona aibu kuikalia kwani kila mtu ataiona iko wapi hadi inapofikia mwisho. Ukiweza peleka mawazo haya kwa wahusika.
 
Ukishangaa ya Magufuli na serikali yake utaona ya member wa JF.

JF ukileta mawazo yako uchangiaje wake utategemea zaidi na ID yako na si nini umeandika.Lakini ukileta habari ya tukio ID si tatizo maana sifa ya watanzania ni kupenda kujadili matukio na habarin za watu maarufu hasa wanasiasa.

Unapoleta mada yako hapa JF lenga zaidi ujumbe uwafikie wahusika na wala si member wa hapa jukwaani ambao kipimo chao cha hoja hutegemea ID ya mleta mada.
Kuna id nilitegemea ningeona mchango wao lakini kumbe. Mimi sio mthamini wala suveyor ila nafwatilia sana mambo ya estate agency. Well,iko siku.
 
Jamani vitu vizuri kama hivi yaani kwa serikali iliyopo sasa vinapaswa kutumwa kwa.Balozi Sefue Ombeni hapo makao makuu ya kaya. Vitatusaidia sana, wasiwasi wangu ni kwamba sijui humu jf watu wa kaya nao wamo ili waweze kuona mawazo kama haya na kuyafanyia kazi. Ndugu yangu ujenzi holela ni jipu lililogeuka kuwa kansa, wewe tembelea majiji yetu mfano Dar yenyewe, huko Mwanza halafu pitapita kwenye kata za Igogo, Bugarika, Milima ya Mabatini, Kenyatta, Bugando, Nyakabungo, Kabuholo, Butimba, Pasiansi, Kilimahewa, Kitangiri na maeneo mengi kadha wa kadha yaani hata njia ya miguu hauwezi ukaiona halafu kijumba kinaungua watu wanalalamika eti zima moto walichelewa, swali ikiwa tu baiskeli haiwezi kupita je gari la zima moto litaweza? au siku hizi zima moto wana beba mitungu ya kuzimia begani? hata kama ni mitungi ya begani kamwe hawataweza maana njia tu ya miguu ni shida hauwezi hata kumwelekeza mtu akaifuata.

Katika maeneo hayo Ukitafuta vyoo na mabafu hapo ndo kivumbi; kama wewe ni mgeni nakwambia ukiiona hiyo choo hautabanwa tena haja ukiwa maeneo hayo, huwezi kutaman kuingia bafuni lakini ile milima ni mizuri mno endapo ingepimwa zamani yaani jiji la mwanza lingefanana na jiji la Yerusalemu huko Israel maana na lenyewe limezungukwa na milima kama ya mwanza.

Tukubali ndugu zangu kuwa tangu tupate uhuru hatukuwa na serikali yenye uwezo wa kuiona Tz ya miaka 100 ijayo, serikali zetu zote zilizopita zilikuwa hazijui kuwa watu wanazaliana na kuongezeka, zilikuwa zinaendeshwa kwa kukariri bila vision japo zingine zilikuwa bingwa wa ziara duniani lakini hazikuweza hata kujifunza kwa wenzetu huko ng'ambo jinsi wanavyopanga miji yao. Labda kwa sasa hii ya 5 itatuvusha ktk hili!!
 
Last edited by a moderator:
Kama mtu ameshindwa kufanya kazi kwa sababu yeyote ile atimuliwe kazi awekwe mwingine anayeweza kufanya kazi kwa hata kwa bajeti ndogo iliyoko. Na wafanye kazi kwa uaminifu. They are civil servants.
Nakuunga mkono kwa hili
 
Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.

Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k

Kitengo cha ardhi katika Wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.

Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.

Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.

Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?

Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.

Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
Ni wazo zuri sana hili. Ningelipenda kama politicians watakubali hili suala, iitwe Tanzania property and Registration Agency (TPRA). Hii itasaidia sana kuondoa usumbufu katika masuala ya land and property rights kwa citizens. Wizara ibakie na masuala ya pilocy formulation, mobilizations and legal and policy enforcement. Tukiwa na Agency inayojitegemea, kutafanyika mambo mazuri sana. Binafsi nimejaribu kuangalia nchi nyingine ambazo nazo zilikuwa na hali mbaya ya land management and administration like Lithuania, Georgia etc, wamekuja kufanya vizuri sana baada ya kuwa na Agency husika as one stop shop. Sasa hapo kwetu, kila kitu wizarani, watu wanajazana paleeee, huduma ni shida. Pia, katika masuala ya plan approval, hili ndo tatizo kubwa na linachelewesha mambo mengine kufanyika.Eti mpaka Director wa Town planning ndo afanye approval ya mchoro ndo implementation ifanyike wakati katika kila Municipality, District wapo watu ambao wameajiliwa na wanaweza kufanya hizo kazi na kuwezesha zoezi liende vyema. Decentralization of powers inatakiwa kufanyika na sio kumsubiria mtu mmoja ndo aidhinishe land use plan and cadastral survey plan. Kwa nini zifanyike wizarani tu? Kwa mawazo yangu hakuna logic, tunapoteza muda mwingi na rasilimali. We need to find an innovative way of doing these stuffs.
 
Asante sana kwa mawazo mazuri na yenye kuboresha.Be blessed.
 
Isitoshe, serikali haina uwezo kufanya land distribution katika formal way hasa kwa majiji kwa sababu ya rapid population (rural to urban and natural increase). Kwa maana ya kwamba haina hela ya kutosha kufanya hii kazi. Kama kukiwa na Agency, hope watapanga majikumu yao binafsi kama vile wanavyofanya NHC kwa kupanga na kupima maeneo kabla hayajavamiwa na watu. Tatizo pia linakuja ambapo planning inafanyikia maofsini na professionals bila kuingia site kuangalia kuna nini. Hii mentality ikiondoka na kukawa na watu wenye commitment ya kuendeleza miji, tutafanikiwa.
 
Kama huyu uchwara anaweza kudharau katiba, Bunge, sheria za nchi, wastaafu, wananchi unadhani ataweza kuheshimu chombo chochote kingine?

Tuna janga kubwa la Taifa Ikulu, natumai 2020 watampiga stop huyu uchwara kugombea tena vinginevyo ataendelea kuivuruga Tanzania na kuiacha hoi bin taabani.

Tatizo la ujenzi hoela ni matokeo ya Wizara ya Ardhi na Manispaa za miji na majiji kushindwa kutimiza majukumu yao kutokana na sababu mbalimbali.

Moja ya sababu bila shaka ni kukosekana kwa kitengo maalumu cha kudhibiti ujenzi holela ambacho kingekuwa na bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kama vile kusimamia sheria za ardhi na mipango miji,kuzuia ujenzi holela,kutoa elimu kwa umma juu ujenzi sahihi wa makazi,upimaji wa ardhi n.k

Kitengo cha ardhi katika Wizara ya Ardhi,Idara za Ardhi na Mipango miji katika Halamshauri zote nchini zivunjwe na badala yake majukumu yake yafanywe na Agency hii itakayokuwa na matawi na ofisi zake nchi nzima.

Kama wazo hili kitaalamu litaonekana haliwezekani/halitekelezeki,basi Agency hii ipewe majukumu ya kusimamia na kudhibiti utendaji kazi wa vitengo/idara zinazohusika na maswala ya ardhi na mipango miji katika Halmashauri zote nchini pamoja na kitengo cha Ardhi kilichopo wizara ya ardhi kama ambavyo Taasisi kama EWURA inavyodhibiti na kusimamia maswala ya maji na nishati nchini.

Swala la kusimamia sheria za ardhi na mipango miji linahitaji chombo maalumu kitakachokuwa kinatengewa bajeti yake maalumu ya kuendesha shughuli zake kwani hili ni eneo nyeti sana na linalogusa maisha ya watu kama jinsi tunavyoshuhudia sasa.

Najua kuna watu watakuja na hoja ya gharama lakini naomba niwaulize hili zoezi la bomoabomoa linatumia gharama kiasi gani ukiachilia mbali kuathiri maisha ya watanzania masikini?

Tukubali,wizara ya ardhi na Halamashauri zote nchini kazi ya kusimamia sheria za ardhi na mipango miji imewashinda na tunahitaji kuwa na chombo maalumu katika eneo hili kwani bomoabomoa bila udhibiti maalumu kwa siku za usoni ni kazi bure kama ilivyokuwa katika zoezi la kuhamishia watu huko Mabwepande ambao walirudi tena mabondeni kwasababu ya kukosekana kwa udhibiti na ufuatiliaji wa makazi mapya kwa waliopewa viwanja.

Halamashauri zetu bajeti zake ni ndogo sana huku zikiwa na shughuli nyingi pamoja na vitengo/idara lukuki zinazotegemea bajeti hiyo ndogo ambayo hatahivyo wakati mwingine hupokea fedha pungufu na zile zilizoombwa katika bajeti.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom