Tanzania tuna mahandaki (tunnel) na ving'ora kwaajili ya kujikinga endapo tutashambuliwa kwa njia ya anga?

Tanzania tuna mahandaki (tunnel) na ving'ora kwaajili ya kujikinga endapo tutashambuliwa kwa njia ya anga?

Kama tunavoshudia hali ya amani duniani inazidi kuwa tete siku maana kila mtu ni kambale kwahyo muda wowote kunaweza kutokea vita hapa duniani.

Je, serikali yetu pendwa imejiandaaje kutulinda raia wake ndo swali kubwa najiuliza hapa, tuna air defense system ngapi.

Je, vingo'ra vipo kama ishara ya kutumbia tuingie kujfcha kwenye mahandaki au tunaishi kama hakuna litakalo tokea mbele kwenye hii dunia ya kila mtu mbabe?

Nani ana shida ya kukushambulia wewe mtanzania? Ili iweje sasa? Atakuwa anajitafutia dhambi.
Na mkichimba tunnels pia itakuwa issue zetu za kutengeneza deals ili tujichukulie pesa.
 
Back
Top Bottom