Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Kuna watu walifanya kazi kubwa kuijenga misingi ya nchi hii na kuifikisha hapa ilipo na leo hii kuna wengine wanafanya kazi kubwa kuipeleka wanakotaka ifike.
Mimi nawashauri waongeze juhudi tu kutufikisha wanakotaka maana ilipofika hawaridhiki napo na wanataka kututoa hapa na kutufisha pale.Ni uamuzi mzuri na wa busara hivyo waendelee tu.Wao ni bora na makini zaidi.
Tanzania tulioichoka tunaizika, tunayoilia yaja.