Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Hapana mkuu unajua katika kazi yangu ya kila siku hapa New York City, huwa inanipa nafasi ya kufanya kazi kwenye Prison Systems zote za hapa Metro, infact huwa ninaiingia mpaka ndani wanakoishi inmates, jana nilikuwa kwenye prisons za Penn State na Trenton, NJ State, mle ndani nikamuona inmate mmoja aliyekua big politician zamani nikaongea naye sana na kumueleza jinsi kwetu watu kama yeye walivyo juu ya sheria, akacheka sana na kunitaka nimuombee ahamie bongo! ha! ha!
- However: nikatoka mle ninajiuliza how nice could it be kuwaona mafisadi wetu bongo wakiwa kwenye msoto kama yule mzee kwa kuvuruga trust ya wananchi na taifa!
William.
hahah!! Mwambie akitoka tutampa invitation na uraia atapewa si unajua tunahusudu sana watu wa nchi za nje.but all in all ni kwamba in Africa we dont follow our laws, zipo tu only as a documents.people own laws so we cant do anything to the(leaders) unless kutokee mgongano wenyewe kwa wenyewe huko juu wa, but if ya small i mean ya nt among them and u go agaist them, u will see and enjoy the bitternes of our law.