Tanzania Tuige Mifano Kama Huu Hapa: Hakuna Wa Kuwa Juuu Ya Sheria! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Tuige Mifano Kama Huu Hapa: Hakuna Wa Kuwa Juuu Ya Sheria!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jan 12, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  [​IMG]  Politicians with legal problems  William
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapo umemena mwanetu! No one's above the law. Hata Richard Nixon ilibidi aachie ngazi.
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
 4. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Charlie Rangel
  [​IMG]
  William.
   
 5. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Sitetei uovu wala majina, ninatetea principle, na sifuati upepo wa bendera, thanks!

  William
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Rod Blagojevich
  [​IMG]
  William.
   
 7. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Edwin Edwards
  [​IMG]
  William.
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndugu Malecela, huwa nakuadmire sawa sawa na Mzee Mwanakijiji, ambaye mara nyingine sikawii kutofautiana naye katika ISSUES, si kwa sababu ya nyinyi mu akina nani bali ni kwa ajili ya certain principles that you seem to be holding close to your hearts

  Kwa mfano lengo lako hapa ya kujaribu kusemea UHIARI WA KILA MMOJA WETU KUJIKOSOA NA KUTII UTAWALA WA SHERIA NA HATA KUWAJIBIKA bila shurutisho ni tamaduni adhimu sanasana. Na kwa kuwa katika hili hatuna kisingizio cha 'Sisi ni Nchi Masikini' hatuwezi kifedha ni swala ambalo halipo, mimi nakuunga mkono kwa kusema sote watawala kwa watawaliwa; tubadilishe tu mwelekeo na kuhiari kufuata utamaduni huu wakati wote bila kinyongo hata kidogo.

  Katika hili, Uwezo Tunao wa kuifanya iwe ni jambo la kweli. Lakini kwa kuwa wahenga, wa kizungu huko mamtoni mliko, husema GOOD IDEAS NEVER STAND ON THEIR OWN UNLESS SOMEONE HAS THE WINDOW OF TIME, DRIVE AND DEDICATION TO FIGHT FOR IT TO THE VERY BITTER END, na mimi naomba kwa heshima zote nikurushie mpira huu wa chagizo ukafikirie kuibua mradi humo na kutafuta kuitekeleza nchini mwetu hapa.

  Yote yawezekana na Uwezo Tunao wala hatuwezi kuulilia kwani itakua ni kufuru kwa Mwenyezi Mungu muumba wetu kwa sura yake mwenyewe.
   
 9. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Kwame Kilpatrick
  [​IMG]
  William.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Bob Ney
  [​IMG]
  William.
   
 11. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Willium

  Itakuwa ni ngumu saana
  Hawa watu wanalindana saana nani aanze kumshitaki mwenzie??? Ilihali wote wanakashfya?
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Marion Barry
  [​IMG]

  William.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo uko tayari tumpeleke bwana ben ndani ya mikono ya sheria?
   
 14. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280

  - Heshima yako sana mkuu, muhimu ni kuwakumbusha halafu unajua kwamba wananchi wameanza kuamka usingizini ndio maana baada ya huu uchaguzi maviongozi mengi magoi goi hayakurudishwa ingawa yalikuwa yamepangwa kurudi, pole pole mkuu tusikate tamaa tutafika tu!

  - Kumbuka historia ya uhuru kule Egypt, ilianza na Nabii Musa hakupewa bure kwanza alianza kwa kuomba kistaarabu kwa Pharao na baadaye ndio ikaja bakora!, sasa tunaanza na kuwaomba viongozi wetu kistaarabu kwanza!


  William.
   
 15. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Buddy Cianci
  [​IMG]
  William.
   
 16. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG] British MP jailed over expenses scandal

  Angalieni wanaotupa mabilioni ya hela za kuendeshea bajeti ya serikali yetu wanavyodumisha utawala wa sheria. Halafu sisi bado tunacheza makida!!!!!!!

  British MP jailed over expenses scandal


  Saturday, January 08, 2011 » 12:34pm
  Former British Labour MP David Chaytor has been jailed for making false Parliamentary expense claims.


  • Former British Labour MP David Chaytor has been jailed for 18 months after he pleaded guilty to making false Parliamentary expense claims.
  Chaytor submitted bogus invoices which led to him receiving 18,350 GBP worth of payments he was not entitled to.

  He is the first politician to be convicted and sentenced over the expenses scandal that rocked Westminster.

  Mr Justice Saunders cut the sentence by six months in recognition of the ex MP's guilty plea.

  He acknowledged the negative publicity surrounding the case but said the public 'understandably feel cheated' by the MP wrongly claiming taxpayers' money.

  The Parliamentary expenses scandal has 'shaken public confidence in the legislature and angered the public'.

  'Chaytor only bears a small part of responsibility for that erosion of confidence and the public anger,' he added.

  He said father-of-three Chaytor - who did not react when sentenced - breached the 'high degree of trust' that had been placed in MPs to make honest claims.

  The former MP is now facing a large legal bill for both his defence and the costs of bringing the prosecution against him. He has agreed to pay back the sum he wrongly received.

  James Sturman QC, who represented the former politician, had argued against a custodial sentence.

  He said the case had already cost the 61-year-old his 'hard-earned reputation for integrity'.

  The lawyer acknowledged the ex-MP had demonstrated 'inexplicable stupidity' by submitting fake documents.

  Attacking 'gleeful, gloating' media coverage of the case, Mr Sturman suggested Chaytor was almost certainly suffering from depression as a result of the negative publicity.

  Chaytor pleaded guilty to three counts of false accounting relating to rent and claims for IT consultancy work that he had never been required to pay for.

  He had asked for rent money covering homes in London and his constituency but it later transpired the properties were already owned by him and his mother.

  Peter Wright QC, the prosecutor, said: 'We say Mr Chaytor knew the rules, and we say why else would he produce false documents in support of his claims otherwise?'

  But Chaytor's lawyer insisted that if he had submitted the claims properly, he would have been 'entitled to every penny, if not more than he claimed'.

  Following the sentence, a Labour Party spokesperson said: 'David Chaytor had already been suspended from the Labour Party and following his custodial sentence he has now been excluded from the party.'

  Source: Hapa
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  heshima yako willium, naona leo umeamka vizuri sana. Au nyani washakula mahindi?umeona usicheke nao wasije wakayamaliza.appreciate u bro!
   
 18. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Spiro Agnew

  [​IMG]
  William
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Hapana mkuu unajua katika kazi yangu ya kila siku hapa New York City, huwa inanipa nafasi ya kufanya kazi kwenye Prison Systems zote za hapa Metro, infact huwa ninaiingia mpaka ndani wanakoishi inmates, jana nilikuwa kwenye prisons za Penn State na Trenton, NJ State, mle ndani nikamuona inmate mmoja aliyekua big politician zamani nikaongea naye sana na kumueleza jinsi kwetu watu kama yeye walivyo juu ya sheria, akacheka sana na kunitaka nimuombee ahamie bongo! ha! ha!

  - However: nikatoka mle ninajiuliza how nice could it be kuwaona mafisadi wetu bongo wakiwa kwenye msoto kama yule mzee kwa kuvuruga trust ya wananchi na taifa!


  William.
   
 20. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yale yale, nilidhani 2011 ni mambo mapya zaidi kuliko yalivyokuwa 2006.
   
Loading...