Tanzania tu adapt USB-C standard charger kama EU.

Ked zee

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
14
Reaction score
17
Smartphones na electronics devices zitumie charger aina Moja.Naona itakuwa poa.
Iphone devices ndo zinaongoza kutumia charger tofauti na devices zingine.

Tuki adapt standard charger,itakuwa cost effective kwa wananchi na pia positive kwa mazingira kwa kupunguza electronic waste.
 
Kwamba sisi tuna bidhaa tunazotengeneza zinazotumia micro USB kwa hio unashauri tuache tengeneza au tunanunua bidhaa za electronic zenye micro USB?

Kwa hio kama nimenunua infinix yenye micro usb unashauri nikatafute fundi abadili mfumo?

Sisi tunatumia mfumo tunaletewa hatuna uwezo wa kutumia mfumo wetu ikija infinix pin ndogo ni humohumo tunapita nayo
 
Viwanda vyote China vinavyozalisha Simu (maana 90%zinazalishwa huko) zitazaliza type C! So wala usiwaze. Mpaka Itel zitakuja na Type C Chargers.Africa atuna standard na atuna ubavu wa kuhamua chochote.
 
Hayo ni maamuzi yanayofanywa na nchi zenye uchumi mkubwa unaoweza kuwawekea sanctions giants kama apple na wengineo.

Huku Tz hata tecno hatuna uwezo wa kuiwekes sanctions
 
Kwamba sisi tuna bidhaa tunazotengeneza zinazotumia micro USB kwa hio unashauri tuache tengeneza au tunanunua bidhaa za electronic zenye micro USB?

Kwa hio kama nimenunua infinix yenye micro usb unashauri nikatafute fundi abadili mfumo?

Sisi tunatumia mfumo tunaletewa hatuna uwezo wa kutumia mfumo wetu ikija infinix pin ndogo ni humohumo tunapita nayo
Issue ni Sheria ya nchi.Kwa mfano ni unnecessary iphone kutumia chaji tofauti na wengine.
 
Anazalisha Kwan yuko juu ya Sheria.Nchi ikiamua kwa nn asifate.
vifaa vingi vinavyokua imported nchi masikini kama Tz vinatoka China, bei chee, ni vya msaada kwa lugha nyingine

China ndiyo inapanga na kuamua itengeneze USB type gani then zije kwenu, siyo Tz

kama Tz ikipanga basi itengeneze devices za USB-C za kwake au wa import toka EU, kitu ambacho ni ndoto
 
Toyota zot zinatengenezwa jp lkn, inaweka features kutokn na nch husk na sheria zake, mfn harrier inayikuj tz ina usukn right wakt inayiend rwnd au br ipo left
 
unafananisha magari na izo trash za kutoka China ?

vitu vingapi vinatoka China , TBS wanakamata kwakua havina viwango , vingapi vinapita ki-ukanjanja na kuuzwa Kariakoo ?

eti uweke sheria devices toka China zote ziwe na USB-C ? ndoto za mchana
 
Toyota zot zinatengenezwa jp lkn, inaweka features kutokn na nch husk na sheria zake, mfn harrier inayikuj tz ina usukn right wakt inayiend rwnd au br ipo left

Japan hawakutengeneza gari zenye usukani kulia kwa sababu tanzania tumetaka hivo.

Sisi tumedandia tu masoko ya watu
 
Back
Top Bottom